Ccm vs Opposition....

Mfiaukweli

JF-Expert Member
Aug 30, 2018
5,636
8,776
Hiki ninachokiandika ni matokeo ya observation yangu binafsi.
Moja ya shughuli zangu zinazonifanya nilipie bills zangu za kimaisha ni kusaidia employers kwenye private sector kupata waajiriwa. Huwa nakuwa member kwenye interview panels na ku-administer aptitude tests. Kuna maswali huwa natunga ambayo 9/10 mtahiniwa atajitambulisha mwelekeo wake kisiasa. Huu ni mwaka wa tatu sasa na zaidi ya 80% ya wale watahiniwa walio sympathetic kwa ccm uwezo wao wa kuchanganua mambo ni mdogo mno.

Conclusion yangu ni hii: wewe kama una biashara yako binafsi epuka kuajiri ccm apologetics. UNLESS LENGO LAKO NI KUPATA HASARA.
 
Nakubaliana na wewe sana, watu wengi wanaokubali ccm ni wale wa kusesereka tu hawatumii akili sana na hupenda kupata bila jasho.
 
B
Hiki ninachokiandika ni matokeo ya observation yangu binafsi.
Moja ya shughuli zangu zinazonifanya nilipie bills zangu za kimaisha ni kusaidia employers kwenye private sector kupata waajiriwa. Huwa nakuwa member kwenye interview panels na ku-administer aptitude tests. Kuna maswali huwa natunga ambayo 9/10 mtahiniwa atajitambulisha mwelekeo wake kisiasa. Huu ni mwaka wa tatu sasa na zaidi ya 80% ya wale watahiniwa walio sympathetic kwa ccm uwezo wao wa kuchanganua mambo ni mdogo mno.

Conclusion yangu ni hii: wewe kama una biashara yako binafsi epuka kuajiri ccm apologetics. UNLESS LENGO LAKO NI KUPATA HASARA.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom