JITATHMINI.

charldzosias

JF-Expert Member
Nov 10, 2013
2,461
3,359
1-Umri 21-30+ bado Unakaa KWENU na haujishughulishi

Jiandae kuwa Maskini na ujiandae kudharaulika na jamii inayokuzunguka pia hauna sifa za kujiita Mwanaume.

2-Msimamo wa kimapenzi =0

Ikiwa mpaka leo, unatumia muda mwingi katika kutafuta Wapenzi wapya na bado WANAKUENDESHA, hauna KAULI thabiti juu yao basi jiandae hivyo hivyo katika Ndoa yako Kuwekwa kiganjani na Mkeo, na kamwe hauwez pata mke bora.

3-Lifestyle isiyokuwa na Mabadiriko kulingana na Mazingira

Kwa kijana STAREHE ni inevitable, ila ukizidisha kuliko kiwango Stahiki basi ndio mwanzo wa Umaskini na kudumaa kwa AKILI na hautosonga mbele..

Jifunze kubadilika kulingana na mazingira pamoja na Muda husika.. Isiwe Starehe ni Kipaumbele kwako.

4-ujuaji mwingi, kila anaekupa mawazo au ELIMU unapinga na kumuona hana Akili

Kisa umefika Chuo kikuu unadharau walioishia Daras LA 7.. Yote hayo hugeuka badae na utajuta.. Maisha ni series isiyo na mwisho, so jitahidi mwisho wako uwe mwema. Usemwe kwa mambo mema na sio mabaya na kitu kibaya zaidi ni UJUAJI uliokithiri.

4-Kukumbatia TOXIC FRIENDS
Kwa kawaida unatakiwa kujiwekea Mipaka ya Urafiki

Aina za marafiki wa kuepuka

#-Wasio na msaada kwako na ambao wanakutegemea wewe kwa kila kitu (Hata kukupa ushauri mzuri hawawezi)

#-Wazee wa BATA, wao simu zao ni Kila ijumaa mpaka jumapili.. Wakikuhamasisha uende kulewa/kutafuta wanawake maeneo Fulani.. (Mara nyingi hukutegemea ww wakiona Una pesa au chombo cha usafiri)

#-Wakatishaji Tamaa

Hawa huwa kila DEAL unalofikiria wao huwa wanakukatisha TAMAA.. hawakupi moyo wa kupambana na mbaya Zaidi wanakutisha badala ya kupa elimu (Sio kila anayekuzuia kuafanya jambo ni adui, hapana kuna Kauli za kumuelewesha mtu aone ni kweli jambo Fulani ni Riski kulifanya)

#-Usiwe na Rafiki Mgumu wa KUHIFADHI SIRI

Ukitaka usifike mbali jaribu kuwa na watu wenye Kuropoka ovyo.. Mipango na matarajio yako yatapotea ghafla.. (Unaweza ukawa na TATIZO Fulani katika maisha yako ila Rafiki yako ukimwambia ukizani atakupa USHAURI wa kulitatua yeye ndio anageuka Gazeti na kusambaza habari nje) Utagombana na watu/utachukia watu wasio na Hatia kwa kupokea habari za uongo na zisizo na maelezo ya ziada.. Hivyo Epuka hao watu focus na Og friends ambao wanajua KUTUNZA SIRI.

----------
kitu kingine nilichojifunza katika maisha ni KUTUNZA AKIBA kama kijana jitahidi kuweka AKIBA itakusaidia sana wakati unashida..

Ukiona nyuzi nyingi humu watu wanalalamika kuomba Mikopo, na kuweka lehani vitu vyao vya thamani..

Wengine wanakosa hata 10k ya Lodge..

Wengine tunakosa hata MTAJI wa kujiajiri

Yote hayo hutokana na kutojiwekea UTAMADUNI wa AKIBA

"AKIBA HAIOZI"

(HATIMA YA MAISHA YAKO UNAYO MWENYEWE)
255652853953_status_253ee85d62eb4bf0805d8b54c73b32b6.jpeg

Sent using Jamii Forums mobile app
 
(HATIMA YA MAISHA YAKO UNAYO MWENYEWE) View attachment 1042258

Sent using Jamii Forums mobile app
Yesu mwenyewe mwaka wa 2000 huu bado anaishi kwa baba yake mi ni nani mpaka nitoke kwa baba kwa umri huu wa miaka 20±

CC Zero IQ
 
Kibonzo safi
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom