BuletAngle
JF-Expert Member
- Apr 15, 2017
- 689
- 555
Jamani msema kweli ni mpenzi wa mungu....
Siamini kama kujitahidi kote kuwahi kuamka na kuoga kila kukuchapo na kuwahi officen lakini mambo ni Bila bila ,,,
NJaa inazidi kuwa kali upande wangu ,, Japokuwa mimi ni mwenye kujituma sana katika utafutaji wapesa ila kwa sasa nimeamuwa kuwa mkweli
HALI YA PESA KATIKA MZUNGUKO WA KIBIASHARA NI KISANGA,,,
Maduka mengi ya mjini posta na movement ya watu imepunguwa pamekuwa peupe pee maduka mengi mageti yamefungwa,,
majengo mengi yapo matupu mjini kweupe kama paja la mzungu,,,
maneno yote yamenitoka ila point ya msingi ni .... Njaa inazidi kuwa kali mifuko imekauka MJOMBA TUSAMEHE KAMA TULIKUKOSEA .
wale matajiri kuishi kama mashetani nilidhani kuwa wao wakiwa mashetani sisi wa hali ya chini tutakuwa malaika kumbe imekuwa ndivyo sivyo
MATAJIRI NA MASKINI WOTE TUNAISOMA NUMBER..
Upande wa nyumbani napo unahisi ukifika utakuwa salama atleast unaweza kupata faraja japo upate hata usingizi inakuwa tofauti mambo yani NO MONEY NO LOVE maisha ya wasiwasi kama unaogea nnje pamoja na kujikwamua kote kuamka na kutafuta kwa bidii unaweza kuambulia nauri ya kuja town na kurudi home dah kwakweli naomba niwaombee msamaha au kama vipi na mimi NARUDI NYUMBANI nahisi naweza kupata ugali wa baba pale magogoni.