Hofu inaendelea kuua watu zaidi kuliko kitu chochote.

Komeo Lachuma

JF-Expert Member
Oct 31, 2014
5,843
12,322
Umeshasoma wataalam wakisema usinywe hiki ,usile kile....wachina wanakula sana kitimoto na bado wanaishi maisha marefu kuliko sisi ambao tunaambiwa sijui kitimoto ina nini...

Watu wengi wanakunywa soda na wana ishi vizuri na asiyekunywa soda anakufa kwa magonjwa mengine.

Katika maisha haya kuna mtoto anazaliwa leo anakufa next week hajawah kunywa soda,kula chips wala kitimoto.

Maisha ya sasa yamejawa na hofu...kitu cha kula,kitu cha kunywa...na tunakoelekea hata hewa tunatovuta nayo tutajikuta tunatembea tumevaa mask.

Babu yangu ana miaka 92 sasa ...toka zamani anakunywa soda, anakula kitimoto ingawa ni kharamu na kila kitu umri huu anapiga soda karibia kila siku moja au mbili anadunda tu.

Alinambia mjukuu wangu enjoy life ..its too short.kuna watu wanajikinga na vyakula wanakuja kufa kwa ajali au malaria,ngoma,typhoid ,mshtuko tu wa moyo,mapenzi,kihoro n.k

Nilijifunza kula kila kinacholika haya ya kuambiwa sijui nini inakuua pole pole... By the way wengi hawataki kufa ghafla otherwise wangemeza sumu ya panya.kufa utakufa tu why dont yu enjoy life?

Mwingine anakataa vyooote hivyo anakuja kufa kwa chuki tu au wivu... Why? Hofu ndiyo inayoua watu zaidi kuliko ugonjwa mwingine wowote ule hapa duniani. Na mwenye hofu hata akiwa anapumua anakuwa ameshakufa tayari. Tena mwoga hufa mara nyingi kabla ya kifo chenyewe
 
Kula/kunywa kitu roho inapenda usipende sana kupangiwa kama mnyama
 
Kuna washenzy fulani wanakwambia nyama nyekundu sijui ina ninii! Una uwezo wa kutafuna, tafuna vya kutosha ukiwa kibogoyo huna cha kujutia
asante mkuu lakini nyama nyekundu na chakula cha wanga kila siku ni recipe for disaster,
 
asante mkuu lakini nyama nyekundu na chakula cha wanga kila siku ni recipe for disaster,
Dada, Babu yangu alifariki na miaka 101, kafariki mwaka 2015. Alikuwa ni Tajiri wa ng'ombe hapo kijijini, nyumbani kwake walikuwa wanakula nyama mwaka mzima, sijui unaniambia nini juu ya hili
 
Dada, Babu yangu alifariki na miaka 101, kafariki mwaka 2015. Alikuwa ni Tajiri wa ng'ombe hapo kijijini, nyumbani kwake walikuwa wanakula nyama mwaka mzima, sijui unaniambia nini juu ya hili
Walikula nyama na chakula gani?
 
Walikula nyama na chakula gani?
Nafaka, sana Mtama, mahindi, mchele haukuwa kiviiile ingawa alikuwa analima. Siku hiyo yupo hom, mama akawa kapika mchicha akawa anatupigisha story anasema huu mchicha haukuwahi kuwepo kabla, ni kitu ililetwa na mkoloni, pamoja na kabichi
 
Vikombe vy plastic tumetumia sn utoto ila sshv unaambiwa vina kansa

Sent using Jamii Forums mobile app
Hiyo kansa haiji haraka ni baada ya matumizi ya hizo kitu kwa muda mrefu.

Hapo ukija kupata kansa baada ya miaka15 hautakumbuka kama sababu ulitumia vyombo vya plastiki kulia kuwekea kinywaji cha moto.
 
Jali afya.kula vitu sahihi
IMG_20190305_182658.jpeg
 
Nafaka, sana Mtama, mahindi, mchele haukuwa kiviiile ingawa alikuwa analima. Siku hiyo yupo hom, mama akawa kapika mchicha akawa anatupigisha story anasema huu mchicha haukuwahi kuwepo kabla, ni kitu ililetwa na mkoloni, pamoja na kabichi
Mkuu kuna wenye bahati ya kushinda bahati nasibu na afya. Bibi yangu alianza kuvuta sigara akiwa na miaka 12 na alivuta sigara kali, akikosa sigara za dukani enzi zile za kupiga vita ulanguzi enzi za marehemu Sokoine, aliuziwa tumbaku na wakulima. Aliishi na alifariki akiwa na miaka 107 bila Chronic Obstructive Pulmonary Disease (COPD) wala lung cancer.

Ni kama mtu kujisifu hajapata UKIMWI wakati anapiga kavu, chukua tahadhari.
 
Kwanza Mtu unapaswa kuenjoy maisha. Lakini katka maisha kila kitu ni risk, endapo tungekua tunajua ya mbele tungeviepuka vyote ambavyo vingetutesa au vingetuua.

Tatizo halipo kwenye kuenjoy bali lipo kwenye nini kitakuua au kitakutesa.

Nnachojua hukatazwi kunywa wala kula au kufanya kitu unachokipenda ila unashauriwa kujifikiria mara mbili kabla hujafanya na ukiwa umepewa madhara na faida unazoweza pata.

Mfano sio wote wanaokunywa soda walipata matatizo (mf kisukari n.k) au sio wote waliokula kitimoto na hawakupata magonjwa.

Ukitembelea hospitali ndipo utakuta wagonjwa wa kila aina, yule mwny kisukari atakwambia usinywe soda, mwny ukimwi atakwambia usifanye ngono n.k.

Point yangu ni kwamba usidhani kisa umeona mtu kaishi vizuri ktk lifestyle flani basi ukadhani nawe utaish vzuri ktk style ileile. Kuna waliokunywa soda pamoja mwngine ikamdhuru mwngne akabaki mzima, kuna waliokua wazinzi mwngne alipata ukimwi mwngne hakupata, kuna walioendesha bodaboda kwa fujo mwngne ilimuua mwngne haijawahi hata kumuangusha.

Je aliyekula kitimoto akapata minyoo ikaingia hadi kwenye ubongo alikua hapendi kula kitimoto? Alipenda ila alichopenda ndo kimemdhuru.

Hivyo si vema useme watu wafanye chochote kuinjoy life, bali inapaswa kujua risk watazokutana nazo katika kufanya jambo. Maana tupo tofauti mfano kuna mtu akinywa maji baridi kidogo tu anavimba na kuumia koo lakini anayapenda, je kisa anapenda asiache? Aya kuna mtu alipenda kula sana ila baada ya kufika miaka 40 akapata magonjwa ya moyo sababu ya obesity (uzito uliopitiliza). Je angekula kwa mpangilio huwezi jua labda asingepata hayo matatizo? Lakini kumbuka pia kuna wanaopata magonjwa ya moyo bila kua na obesity. Shida sio huyu kilimpata basi na yule kitampata au yule hakikumpata basi na huyu hakita mpata cha msingi ni kua mwangalifu isije ikawa wewe ndo wakupatwa.

Hatujui kifo chetu lakini hatujui kesho yetu ni vema kuepuka au kua na kiasi na vitu vinavyoweza tukosesha amani ya maisha in present or future.

Samahani kwa comment ndefu.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Watu wale wanachotaka... Kilimanjaro,arusha,mbeya,ruvuma,iringa,mwanza,musoma,rukwa wanakula sana kitimoto.... Wanakula ile kinyama... Hiyo minyoo umeipata wewe walaji wanadunda tu.

Nyama nyekundu nayo si nzuri..but miaka yote wazazi wetu wanakula na hamna shida...umejazwa hofu unataka nawe uwaambukieze wenzio.namjua jamaa kapata MATATITO ya mapafu hajawahi hata kuvuta moshi wa kiberiti ukikiwasha...na wakati huo huo kuna mbabu anavuta sigara au kiko mwaka wa 89 huu...

Ishi utakavyo... Vyakula ni kwa ajili ya tumbo na tumbo ni kwa ajili ya vyakula.mimi nakula kila kitu na tukipimana ubavu na afya unaweza wewe mwenye kula majani uka flat ile mbaya...sina sukari,sina kitambi,nina uzito wakunitosha na nguvu za aina zote.

Kila kinachofaa kuliwa nami nakula...na kinachonifaa kunywa nakunywa....kisicho riziki ndo hakiliki.

Kwanza Mtu unapaswa kuenjoy maisha. Lakini katka maisha kila kitu ni risk, endapo tungekua tunajua ya mbele tungeviepuka vyote ambavyo vingetutesa au vingetuua.

Tatizo halipo kwenye kuenjoy bali lipo kwenye nini kitakuua au kitakutesa.

Nnachojua hukatazwi kunywa wala kula au kufanya kitu unachokipenda ila unashauriwa kujifikiria mara mbili kabla hujafanya na ukiwa umepewa madhara na faida unazoweza pata.

Mfano sio wote wanaokunywa soda walipata matatizo (mf kisukari n.k) au sio wote waliokula kitimoto na hawakupata magonjwa.

Ukitembelea hospitali ndipo utakuta wagonjwa wa kila aina, yule mwny kisukari atakwambia usinywe soda, mwny ukimwi atakwambia usifanye ngono n.k.

Point yangu ni kwamba usidhani kisa umeona mtu kaishi vizuri ktk lifestyle flani basi ukadhani nawe utaish vzuri ktk style ileile. Kuna waliokunywa soda pamoja mwngine ikamdhuru mwngne akabaki mzima, kuna waliokua wazinzi mwngne alipata ukimwi mwngne hakupata, kuna walioendesha bodaboda kwa fujo mwngne ilimuua mwngne haijawahi hata kumuangusha.

Je aliyekula kitimoto akapata minyoo ikaingia hadi kwenye ubongo alikua hapendi kula kitimoto? Alipenda ila alichopenda ndo kimemdhuru.

Hivyo si vema useme watu wafanye chochote kuinjoy life, bali inapaswa kujua risk watazokutana nazo katika kufanya jambo. Maana tupo tofauti mfano kuna mtu akinywa maji baridi kidogo tu anavimba na kuumia koo lakini anayapenda, je kisa anapenda asiache? Aya kuna mtu alipenda kula sana ila baada ya kufika miaka 40 akapata magonjwa ya moyo sababu ya obesity (uzito uliopitiliza). Je angekula kwa mpangilio huwezi jua labda asingepata hayo matatizo? Lakini kumbuka pia kuna wanaopata magonjwa ya moyo bila kua na obesity. Shida sio huyu kilimpata basi na yule kitampata au yule hakikumpata basi na huyu hakita mpata cha msingi ni kua mwangalifu isije ikawa wewe ndo wakupatwa.

Hatujui kifo chetu lakini hatujui kesho yetu ni vema kuepuka au kua na kiasi na vitu vinavyoweza tukosesha amani ya maisha in present or future.

Samahani kwa comment ndefu.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kabisa.... Mimi nimeanza kula kitimoto mwaka 2002 mpaka leo sijaacha... Majini yalikuwa hayataki nigonge kitimoto...nligonga yakakimbia nikaamua kuyakomesha nikawa nagonga kinyama...na mambo mambo mengine. Sasa nipo fresh kinoma.

Kula kitu roho inapenda
 
Madawa ya viwandani tunayotumia yanasababisha matatizo mengine na kusababisha kufa haraka
 
Back
Top Bottom