kifusi boy
JF-Expert Member
- Jun 13, 2017
- 1,141
- 1,752
Habari Wakuu...
Kuna picha nimeiona mahala ikionyesha mtu kwa jina kwenye ile account yake ni Ben Stiller (cocochiecrumbs), jamaa dizaini kama alikua anaonyesha CD fulan sasa kilichoonekana si ile CD pekee bali beyond that CD ambacho ni miguu yake
Miguu ile bwana ni kwato si kwato, ulemavu si ulemavu, basi tafrani tupu...Hebu iangalieni kwanza halafu tuambizane katika ulimwengu wa sasa ile miguu ni possibly kutokea?
Mauza uza haya ni ya kweli ama ni editing tuu kutaka kutuzubaisha dunia au ni miguu yake halisi labda ni impairment fulan hivi au ndo jini kweli au la?
Ukicheki location ya jamaa ni San Diego, California Marekani sasa uzunguni kule nako kuna mauza uza kama haya au ndo Alien Species?
Check account yake hii
Sent using Jamii Forums mobile app