Vitalis Msungwite
JF-Expert Member
- May 11, 2014
- 3,318
- 7,984
Mwaka 2015 ulishinda kwa kishindo huku ukihubiri sera zako au mambo Mbali Mbali. Baadhi ya mambo yaliyotugusa watu wa chini ni kama vile
• Elimu bure
•Uboreshaji wa huduma za Afya
• Mikopo ya elimu yajuu
• Kutumia lasrimali zetu kutunufaisha wananchi
• Uboreshaji wa huduma za kijamii eg miundo mbinu ya bara bara, umeme, maji n.k
We jamaa nakimbuka ulianza vizuri na wafanyakazi walikuwa na nidhamu na vitendo vya rushwa vilipungua.
Kwasasa huku mtaani hakuna ulichobadilisha sijui labda huko Dar. Huku ulikosema elimu bure watu wanaswekwa ndani kisa hawajachangia elimu. Mwanzoni walisema ni hiari lakini saizi ni lazima.
Shuleni wanafunzi ni wengi na walimu ni wachache, hivyo kwa maslahi ya watoto wetu tumeajiri walimu kwa michango yetu wazazi. Aisee hii inamaanisha hakukuwa na backup sijui!!! Maana kuna upungufu mkubwa wa walimu. Katika Sera zako ulizoingilia ni chache zilizonadirika kidoogo.
Sasa kwasababu mwaka huu wa fedha unaoanza July ndo mwaka wa kuelekea uchaguzi nikustue kodogo. Hebu jaribu kutoa neema ili tusahau machungu kidogo na tunapoingia kupiga kura usimame tena.
Toa ajira ili kupunguza kindi lililopo mtaani, ajira hizo zitapunguza uhaba wa walimu na wauguzi na kupelekea wanachi kufurahia uongozi wako.
Pandisha madaraja ya utumishi, toa mikopo ya elimu ya juu kwa wingi na hii itapunguza malalamiko ya wafanyakazi yaliyopo kwasasa.
Barafu la moto