Nataka kutoa zawadi ya chano kwa viumbe msaada wa muongozo please

MzaramoTz

JF-Expert Member
Dec 13, 2017
1,829
2,986
Amani Iwe Nanyi Wakuu.

Nahitaji muongozo kutoka kwenu, nahitaji kutoa zawadi ya chano kwa viumbe, nnaposema zawadi namaanisha ni zawadi tu kama mtu anapompa zawadi mwenzake.

Unapompa mwenzako zawadi hufurahia kuipata na kuipokea zawadi hiyo. Hivyo nahitaji muongozo kutoka kwenu wenye uelewa wa hili jambo mnisaidie tafadhali.

Natanguliza shukran kwenu.

Ahsanteni.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom