Kesi hii ilifunguliwa na Baraza la Habari la Tanzania(MCT), Kituo cha Sheria na Haki za Binadamu(LHRC) na Watetezi wa Haki za Binadamu(THRDC)
Sheria inayolalamikiwa ilipitishwa na Bunge, Februari...
Ishi kiuhalisia endana na uhalisia wako,huenda ukweli unakuvuta ili usimame mahala ama kuonyesha uwezo lakini uhalisia ndio sehemu pekee unayoweza kuwa na amani na kutengeneza mafanikio yako...
Salaam wakuu.
Niende moja kwa moja katika mada.Nilitengenezewa "Power of Attorney" na mwanasheria wangu.Ikabidi niende Wizara ya Ardhi kuisajili.
Nilifika pale nikalipia 53,000 kama gharama ya...
Hii mvua imeanza kunywesha mida ya saa kumi ya usiku ikiwa na radi na upepo mkali sana, imeezua nyumba zetu na kutufanya wengine tuoge bila ya kutarajia. Bado atujajua majaliwa ya wale wenzetu...
Uchunguzi Wa kina umethibitisha miradi mingi imewekewa Mawe ya msingi lakini haitekelezwi kama tunavyotarajia wananchi wengi.nampongeza mkandarasi Wa Barbara ya kimara kwa vifaa Vingi vya kazi...
Serikali imeteketeza shehena ya nyama hizo zenye viambata vya sumu na zilizokwisha muda wa matumizi na hivyo kutokufaa kwa matumizi ya binadamu
Pia nyama hizo zimekamatwa zikiuzwa katika maduka...
Habari za muda huu ndugu wasomaji. Bila shaka hii taarifa inaweza kumfikia mlengwa akabadilika au hospital husika. Hospitali hii ni nzuri ina huduma nzuri sana kuanzia mapokezi,maabara, phamacy na...
Habar za mda mrefu wakuu , baada ya mda mrefu sana kutonekana kwenye jf leo nimerud kwa machungu na masikitiko
Ni baada ya kupata makato yasioeleweka kwenye mshahara wangu nikasema ngoja nione...
Ndiyo, hii ndiyo dunia!
Na haya ndiyo maisha.
Katika dunia na maisha,
Na huku hapa ndiyo kuishi!
Ndiyo, ikiwa wewe unaitafuta Shilingi 50 kwa kutumia uwezo wako wa kila aina ulionao, huku...
Wazee Leo Nimepanda Daladala nikakaa siti ya Nyuma nikakutana na Mdada hata simjui..Muda wa Nauli Kalipa hela kasema Kata ya Wawili Mimi na Huyu Kaka.
Imagine mpaka nashuka Namanga hatujaongea Na...
Mioungoni mwa miji inayokuwa kwa kasi kwa sasa ni mji wa Dodoma. Mji huu unafursa mbalimbali za uwekezaji na biashara. Wanasiasa na watalaam wanatakiwa kuzitangaza fursa zilizopo Dodoma ili...
Ni kwa nia njema tu nauliza hili maana udadisi ni haiba ya mtu. Rwanda tunaambiwa karibu asilimia 80 ni wahutu. Watutsi ni kama 15 hivi. Lakini sasa kila nikiona mtu au kusikia mtu toka Rwanda ana...
Serikali imebaini mbinu mpya ya vijana kutumia sumu ya panya na dawa za usingizi kama mbadala wa madawa ya kulevya baada ya serikali kudhiti biashara ya uingizwaji wa madawa ya kulevya hapa...
Kama ilivyo kwenye dini ya kiislaam tunaamini watu tunakutana na maisha magumu, matatizo mengi ikiwemo kukosa mvua, Kupata viongozi Madhaalim(Mfano: Misri kule kulikuwa na firauni mmoja hivi...
Hata wawe wametabiri mamlaka au kikundi cha watu kuwa mvua itanyesha huo ni ubatili.
Miaka nenda rudi sote tunafahamu misimu ya mvua na kiangazi.
Na kwa sasa nchini maeneo mengi mvua zinaendelea...
Iko hivi, wengi mijini hapa tunanunua mkaa wa magunia makubwa then tunauza kwa vipimo angalau kupata riziki.
Sasa mnapotuambia sisi wakala wa wauzaji wa maliasili za misitu tulipie Shilingi...
Serengeti. Mahakama ya Hakimu Mkazi Mfawidhi wilaya ya Serengeti mkoani Mara imemhukumu, Choral Samson (28) mkazi wa Burunga kifungo cha miaka 30 jela kwa kosa la kumbaka mama yake mzazi Rhobi...
Bourgeoisie Scholars wanadai Mtu anakua maskini kwa kua hana mtaji na mvivu.Waafrika wengi huamini Mungu humpangia mtu awe tajiri ama masikini.Wengine huamini ukisoma sana ndo unakua tajiri lakini...
Kwema wakuu,
Ifuatayo ni miji 10 iliyotembelewa sana na watalii mwaka 2018, huenda tutajifunza kitu na kuleta tija katika sekta yetu ya utalii
1. Hong Kong
Watalii wengi walichagua Hong Kong...