Nchi Kavu
JF-Expert Member
- Sep 11, 2010
- 4,289
- 2,472
Ni kwa nia njema tu nauliza hili maana udadisi ni haiba ya mtu. Rwanda tunaambiwa karibu asilimia 80 ni wahutu. Watutsi ni kama 15 hivi. Lakini sasa kila nikiona mtu au kusikia mtu toka Rwanda ana asili ya kitustsi. Iwe waimbaji, askari, wanadiplomasia, wachezaji, raia wa kawaida, etc. Hawa asilimia 80 huwa wako wapi na wanafanya nini?
Sent using Jamii Forums mobile app
Sent using Jamii Forums mobile app