BUMIJA
JF-Expert Member
- Oct 19, 2011
- 6,252
- 11,926
Bourgeoisie Scholars wanadai Mtu anakua maskini kwa kua hana mtaji na mvivu.Waafrika wengi huamini Mungu humpangia mtu awe tajiri ama masikini.Wengine huamini ukisoma sana ndo unakua tajiri lakini si kweli mana wapo matajiri hawajui hata kusoma.Wengine hudhani utajiri huletwa na kufanya kazi sana,ila wengi bado hawajawa matajiri.ukweli kuhusu hili ukwapi?
Sent using Jamii Forums mobile app
Sent using Jamii Forums mobile app