Shree Hindu Hospital Arusha huyu nesi anawatia doa

Meljons

JF-Expert Member
Jun 25, 2012
2,868
2,000
Habari za muda huu ndugu wasomaji. Bila shaka hii taarifa inaweza kumfikia mlengwa akabadilika au hospital husika. Hospitali hii ni nzuri ina huduma nzuri sana kuanzia mapokezi,maabara, phamacy na kwa madaktari wake wana huduma nzuri sana ila sasa Kuna huyu nesi yupo upande wa clinic ya kina mama na watoto, kama unahudhuria clinic hapa anakatisha tamaa sana kuhudumiwa naye, unapata huduma nzuri sana kwa madaktari ila ukifika hapa unatamani kurudi au kwenda kumalizia huduma hii hospitali nyingine. Simfahamu jina ila ni mrefu maji ya kunde, ana treatment mbaya, lugha mbaya, command kama vile upo jeshini,anakupiga jicho baya etc.. hata kama una swali la afya lolote pale unashindwa kumuuliza japo wenzake hapo hapo chumba hicho ni wakarimu mno kweli. Hata akichoma sindano vile alivyojaa kiburi/stress (I don't know how to describe her) inauma mwezi mzima. Malalamiko juu yake ni mengi ila nimeamua kuwakilisha hapa naamini ujumbe utamfikia abadilike la sivyo kina mama wengi wanachukia kile kitengo kwa ajili yake.

Tunaomba ujumbe huu ufike sehemu husika maana lengo ni kujenga na sio kubomoa.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Pablo Blanco

JF-Expert Member
Dec 20, 2016
6,147
2,000
Habari za muda huu ndugu wasomaji. Bila shaka hii taarifa inaweza kumfikia mlengwa akabadilika au hospital husika. Hospitali hii ni nzuri ina huduma nzuri sana kuanzia mapokezi,maabara, phamacy na kwa madaktari wake wana huduma nzuri sana ila sasa Kuna huyu nesi yupo upande wa clinic ya kina mama na watoto, kama unahudhuria clinic hapa anakatisha tamaa sana kuhudumiwa naye, unapata huduma nzuri sana kwa madaktari ila ukifika hapa unatamani kurudi au kwenda kumalizia huduma hii hospitali nyingine. Simfahamu jina ila ni mrefu maji ya kunde, ana treatment mbaya, lugha mbaya, command kama vile upo jeshini,anakupiga jicho baya etc.. hata kama una swali la afya lolote pale unashindwa kumuuliza japo wenzake hapo hapo chumba hicho ni wakarimu mno kweli. Hata akichoma sindano vile alivyojaa kiburi/stress (I don't know how to describe her) inauma mwezi mzima. Malalamiko juu yake ni mengi ila nimeamua kuwakilisha hapa naamini ujumbe utamfikia abadilike la sivyo kina mama wengi wanachukia kile kitengo kwa ajili yake.

Tunaomba ujumbe huu ufike sehemu husika maana lengo ni kujenga na sio kubomoa

Sent using Jamii Forums mobile app
Atakuwa Ana stress eiza hana bwana ny***ge nyingi au atakua single mother

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom