Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

On JF:

BRAZIL, nchi inayoshika nafasi ya nne kwa uzalishaji wa pamba duniani, imedhamiria kusaidia kuliinua zao hilo Ukanda wa Afrika Mashariki ili liweze kuwa na tija kwa wakulima wake. Kwa kuanzia...
0 Reactions
0 Replies
748 Views
Nakumbuka nilikua darasa la pili,huko shinyanga, siku moja nimetoka shule tukapata lunch then nikaenda kucheza kwao rafk yangu,nikakuta wanapata lunch pia,mama alishanikataza kula ile nyumba kwani...
7 Reactions
33 Replies
5K Views
Kumekuwa na sitofahamu juu ya mwenendo wa wananchi wa mwanza maeneo ya buhongwa kuzuiliwa na kusimamisha kuanzisha makazi yao kwa maeneo husika kisa eneo ilo linatakiwa na Jeshi la wananchi wa...
0 Reactions
2 Replies
944 Views
Ni utamaduni wa mtanzania kushukuru. Watanzania tuna tabia njema sana, nianze kwa kahistoria kafupi kaliko tugeneralize watanzania wote, tukianzia na Marehemu JKNyerere. Wakati Fulani aelekea...
1 Reactions
3 Replies
974 Views
Za Saa Hizi Wakuu? Direct niende kwenye Mada, ni kwamba Leo nimepokea barua kwa secretary wa hapa kazini ikitoka kwa boss, barua inahusu kusimamishwa kazi na ni kwa muda usiojulikana. Kwenye...
17 Reactions
273 Replies
36K Views
Usione kama tumeonewa sisi watu weusi kutoshushwa mitume kwetu katika nyakati nyingi kama ambavyo wameshuka kwa wenzetu weupe.Mungu mwenyewe ndo mjuzi lakini tukitumia akili zetu kutafakari...
1 Reactions
13 Replies
2K Views
Mimi ni mkaazi wa Usagara wilaya ya Misungwi jijini Mwanza.naomba tu kukulizeni Tanesco..hivi mnafanya nini muda ambao ndiyo giza limeingia tunahitaji mwanga ninyi mnakata umeme?jana niliona...
0 Reactions
0 Replies
3K Views
Habari za majukumu wakuu. Kama kichwa kinavyojieleza,serikali iliunda mfuko huu ambao ni sheria kuchangiwa na kila mwajiri. Kabla ya mfuko huu kuanzishwa waajiri walikuwa wanahusika kuwalipa...
1 Reactions
5 Replies
4K Views
Habari za asubuhi wakuu. Hivi hatuwezi anzisha taasisi ya upelelezi ya JF ambayo itakuwa inafanya upelelezi wa matukio tata na kuyaweka wazi na kuyafikisha kwenye vyombo vya sheria? Nina uhakika...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Habari za jioni hii wadau wa hili jukwaa letu pendwa.. Umewahi kujiuliza bila ya wewe kwenda shule kupata maarifa kuondoa ujinga kichwani Leo Hii ungekua na maisha ya aina gani? Jaribu kuvuta...
3 Reactions
19 Replies
1K Views
Kiukweli huu msemo huwa unaniacha na maswali mengi au labda mimi ndio nakosea nirekebishwe, hivi ni Rais katoa au serikali imetoa?, mfano wenzetu wamarekani wanatangazo linasema "msaada huu...
2 Reactions
8 Replies
2K Views
Heshima kwenu wakuu. Nimesikia huu msamiati wa kushusha na kupandisha Tanga nikasema niulize kwanza kwa wadau hili Tanga maana yake ni nini haswa...? Nnavyojua mimi Tanga ni mkoa. Pili Tanga...
0 Reactions
16 Replies
6K Views
Nahodha wa timu ya Taifa, Mbwana Ally Samatta ameliomba shirikisho la mpira wa miguu nchini kutomsahau, Shomary Kapombe Kapombe aliumia wakati wa mchezo wa kuwania kufuzu kushiriki michuano ya...
3 Reactions
35 Replies
6K Views
Tangu Maalim Seif na baadhi ya wanakafu kuhamia ACT, TBC imekuwa ikionyesha mara nyingi habari za vyama vya upinzani(Tho in a - way) tofauti na ilivyozoeleka Sent using Jamii Forums mobile app
0 Reactions
5 Replies
2K Views
Wadau habari ya jioni,leo nimepigwa maswali na mwanangu yanayohusu vitendawili,kwa kweli nimetoka kapa. Tafadhali okoeni jahazi 1. Ajihami bila silaha..... 2.akibeba watoto wake bila...
2 Reactions
5 Replies
9K Views
Kuna taarifa zisizo rasmi kwamba kutokana na ujenzi wa miradi mikubwa mikubwa hapa Tanzania na miradi hiyo ikiwa chini ya wachina basi inasadikika jamaa hawa kutoka Asia wameamua kufanya yao ili...
7 Reactions
81 Replies
9K Views
KITUO cha Utabiri wa Hali ya Maendeleo na Idara ya Maendeleo (IGAD) chenye makao yake makuu jijini Nairobi Kenya, kimetoa tahadhari ya uwepo wa ukame na joto kali Afrika Mashariki, huku Mamlaka ya...
1 Reactions
24 Replies
10K Views
Yaani vitambi ni kama wamechanjia..ukija barabarani wanavyoongoza magari huwez elewa ata hyo signal aliyoitoa amekuruhusu au amekusimamaisha wanaweza kukusababishia ajali.wengine wanaongoza magari...
4 Reactions
3 Replies
1K Views
Mtu mmoja ambaye hajafahamika jina lake wala umri wake amekutwa amekufa na mwili wake kuwekwa ndani ya kiroba na kutupwa katika mfereji eneo la kijitonyama jijini Dar es salaam hii leo. Chanzo...
2 Reactions
186 Replies
29K Views
Wadau maeneo ya tarakea rombo limetokea tetemeko la ardhi mida hii ======== Tetemeko la ardhi lenye kiwango cha 4.8 Imeathiri nchi: Kenya na Tanzania Kilomita 41 kutoka Wundanyi, Kenya · saa...
5 Reactions
90 Replies
16K Views
Back
Top Bottom