RRB Mwanza yaagiza machinga waondolewe barabarani

kalimanzilajuma

JF-Expert Member
Joined
Mar 21, 2017
Posts
323
Reaction score
314
Hivi MKUU wa nchi sialisema hawa watu wasibuguziwe,baada ya kupata vitambulisho?au mimi ndie ambaye sikumuelewa?
1553695754643.jpeg

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Vitambulisho sio vya kufanya biashara hadi barabarani,Ila ni TRA ndio wameambiwa wasiwabughudhi wafanyabiashara wa chini ya MITAJI ya MIL.4 ila kitambulisho hakijasema Mkafanye biashara BARABARANI..Taratibu lazima zifatwe na kuzingatiwa kwa ajili ya usalama wetu na miundombinu yetu wenyewe ambayo itatunufaisha WOTE.
 
Hivi walitengewa maeneo kabla ya vitambulisho kugawiwa?

Sasa biashara wakafanyie wapi? Mh. Magufuli alisema hata mlangoni kwa mkurugenzi wakapange ili mradi pana wateja
 
Hivi walitengewa maeneo kabla ya vitambulisho kugawiwa?

Sent using Jamii Forums mobile app
kila mkoa una taratibu zao..kwa Mwanza sijajua sasa walipangiwa wapi ila Dar naskia kuna ile Machinga Complex ambapo waligoma kwenda..But zipo sehemu za wao kufanya biashara zao ambazo ni salama ila sio Huko kwenye reserve za barabara..
 
Hivi mnaotetea hili jambo huwa nashangaa sana..jameni Wamachinga tunataka sana wafanye kazi zao ila watoke njiani..uchumi gani wa kukaa njiani?? hovyo hovyo tu kila mahala..Buhongwa pale ni hatari sana kwa wao wenyewe gari ikikata break ni balaa kubwa sana..
 
wanatengeneza tatizo ili walitatue.

kwani tamthilia hii ni mpya kwako mkuu?
 
Sasa biashara wakafanyie wapi? Mh. Magufuli alisema hata mlangoninkwa mkurugenzi wakapange ili mradi pana wateja
sawa hatujakataaa Wameambiwa watoke kwenye Bara Bara nadhani wano ongelewa hapa sana sana Ni wale wanaopanga Biashara Chini kbsa yani wanasababisha foleni na hatari kubwa sana..Laiti ungewaona wanapofanyia hizo biashara Unaweza simamisha gari ukashuka ukamzibua kOFI...watu wanapanga vitu njiani kbsaaaa halafu wanakaaa hapo hapo Hata upige HONI ya llori hatoki ndio kwanz anapanga nyanya zake...(watolewe bwanaa)

Kuna wale machinga wanaotembeza vitu,wanaobeba vitu vyao mikononi wanatafuta wateja Machinga hao hawana shida ila wenye shida ni hawa Machinga FEKI wavivu kutembea kazi wanaenda kuweka biashara Sehemu hatarishi kbsa halafu kutoka hawataki.

Machingwa wanaotembea wale hawana shida...BAlaaa lipo kwa hawa wapanga vitu barabarani kbsaaaa...BWANA WATOKEEEEE
 
Hivi mnaotetea hili jambo huwa nashangaa sana..jameni Wamachinga tunataka sana wafanye kazi zao ila watoke njiani..uchumi gani wa kukaa njiani?? hovyo hovyo tu kila mahala..Buhongwa pale ni hatari sana kwa wao wenyewe gari ikikata break ni balaa kubwa sana..
Sio huko tu...ukija DAR ukawakuta maeneo ya MBEZI mwisho stand walivyojazana yani wanaleta FOLENI kiasi kwamba unatamani ugeuze gari liwe katapila uende ujitoe ufahamu ukanyage kanyage mavitu yao uyasombelee mbali...Wanaotetea ni hawajui tu wanachokiandika lkn laiti wangeelewa hawa watu barabarani ni kero..Wasingetetea UJINGA.
 
Hivi mnaotetea hili jambo huwa nashangaa sana..jameni Wamachinga tunataka sana wafanye kazi zao ila watoke njiani..uchumi gani wa kukaa njiani?? hovyo hovyo tu kila mahala..Buhongwa pale ni hatari sana kwa wao wenyewe gari ikikata break ni balaa kubwa sana..
Kwa nini usimlaumu aliesema wapange biashara zao popote?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom