Mvua kubwa kanda ya ziwa!

Mvua kubwa kanda ya ziwa!

Lipijema

JF-Expert Member
Joined
Mar 8, 2015
Posts
953
Reaction score
1,540
Hii mvua imeanza kunywesha mida ya saa kumi ya usiku ikiwa na radi na upepo mkali sana, imeezua nyumba zetu na kutufanya wengine tuoge bila ya kutarajia. Bado atujajua majaliwa ya wale wenzetu wavuvi waliopo ziwani kwa shuguli za uvuvi. Hadi mida hii nikiandika uzi huu mvua ya wastani yaendelea kunyesha.Tunaomba M/Mungu atunusuru na mvua hizi zisiwe za kutuangamiza, hatuna wa msaada zaidi ya Muumba wa mbingu na ardhi!
 
Hongereni kwa mvua & poleni kwa majanga.

Sent from my GT-N7000 using Tapatalk
 
Hii mvua imeanza kunywesha mida ya saa kumi ya usiku ikiwa na radi na upepo mkali sana, imeezua nyumba zetu na kutufanya wengine tuoge bila ya kutarajia. Bado atujajua majaliwa ya wale wenzetu wavuvi waliopo ziwani kwa shuguli za uvuvi. Hadi mida hii nikiandika uzi huu mvua ya wastani yaendelea kunyesha.Tunaomba M/Mungu atunusuru na mvua hizi zisiwe za kutuangamiza, hatuna wa msaada zaidi ya Muumba wa mbingu na ardhi!
Kanda ya ziwa pana mzee baba, may be ongelea mwanza specific,

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mwanza mjin mvua huwa inanyesha tuu tangu mwez wa kumi inanyesha tu tena kubwa...ila ukiondoka nje ya mji hakuna mvua kabisa...
 
Mkuu kanda ya ziwa kubwa na Mwanza kubwa. Unaongelea sehemu gani?nilipo kuna wingu la kutosha ila hamna mvua iliyonyesha usiku zaidi ya jana mchana
 
Sasa kumbe jana ilinyesha, unauliza nini tena?

Watu wengine bwana[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Sisi ata wingu hatujaona
 
Marinda yanakuwasha ee, au hii ni fekero yako

#ikikuumamezawembe#
Sasa kumbe jana ilinyesha, unauliza nini tena?

Watu wengine bwana[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Sisi ata wingu hatujaona
 
Mwanza mjin mvua huwa inanyesha tuu tangu mwez wa kumi inanyesha tu tena kubwa...ila ukiondoka nje ya mji hakuna mvua kabisa...
Dah...huku Dar naona wachina bado wameishikilia mvua...Hadi wamalize kujenga daraja la ubungo...[emoji23][emoji1787][emoji1787][emoji1787]

Sent using Beretta ARX 160
 
Back
Top Bottom