Nyankuru Wankuru
JF-Expert Member
- Apr 22, 2018
- 1,199
- 1,346
Hata wawe wametabiri mamlaka au kikundi cha watu kuwa mvua itanyesha huo ni ubatili.
Miaka nenda rudi sote tunafahamu misimu ya mvua na kiangazi.
Na kwa sasa nchini maeneo mengi mvua zinaendelea kunyesha kwa kuwa ndio msimu.
Na majira haya ya mwaka pamoja na misimu hii ni Mungu pekee ndiye anapaswa kupongezwa kwa kuiweka hapa duniani.
So asijitokeze binadamu yeyote kujisifu kwa kutabiri na kuomba eti kaleta mvua.
Sent using Jamii Forums mobile app