Mabaraza na Bodi za mitihani za nchi za Afrika mashariki kwa pamoja zimekubaliana kuanzishwa kwa umoja wa nchi za Afrika Mashariki katika tathmini ya elimu.
Kufuatia uamuzi huo Katibu Mkuu wa...
Serikali imetaifisha kilo 343 za dhahabu katika matukio tofauti yaliyohusiana na uvunjifu wa sheria kati ya Aprili mwaka jana hadi sasa.
Akizungumza na waandishi wa habari jijini Mwanza jana...
Habar za leo ndugu wanabodi,
Nimeona ni vema tuhabarishane machache yanayoendelea huku nilipo (kwenye wilaya moja hapa jijini Mwanza)
IPO HIVI;kila mwaka huku kwetu kwenye wilaya fulani hapa...
Awali ya yote nichukue fulsa hii kumshukuru Mungu kwa uzima na kutuletea Rais Magufuli maana sasa Nchi inakwenda mbele.
Mh Rais nimeshaeleza mambo mengi ambayo umefanya toka wananchi...
Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Kangi Lugola amesema kuwa kuna watu wamejipanga kuvuruga amani ya Zanzibar na kuvuruga amani ya Tanzania watakamatwa mmoja mmoja kama Kuku.
Waziri Lugola amesema...
Ni kawaida panapokuwa na matukio ya kitaifa ya kisiasa viongozi wetu wa dini hukusanyika pamoja na wanasiasa na kufanya dua.
Sasa watanzania wote tunajua kuwa Maji ni uhai na kwamba katika maeneo...
Salaam,
Nimejaribu kuuliza kwa watu wanaonizunguka wananiambia mmea huu unaitwa mlenda na wengine huutumia kama mboga ya majani.
Je, Kuna jina tofauti na hilo kwa kiswahili rasmi ama kwa...
Waziri wa Madini, Doto Biteko amekutana na kufanya mazungumzo na Mtendaji Mkuu wa Kampuni ya PRNG Minerals Ltd, ya Marekani, Rocky Smith na Mkurugenzi wa Maendeleo wa Kampuni hiyo Lucas Stanfield...
Kwako Kamanda Diwani Athuman, naamini ulisikiliza hotuba ya Mpendwa wetu Boss wako juzi Wakati alipowaalika Taifa Stars na Mwakinyo kula nae msosi. Katika mazungumzo Yake yote, lipo Moja lilinipa...
Mungu ni mwema hata ametuwezesha kuuona mwaka 2016, tuombeane heri katika mwaka huu. Hii ni topic yangu ya kwanza mwaka huu, naomba twende pamoja
Kwenye hizi mada za uchawi ushirikina kumekuwa...
Jeshi la polisi wilaya ya Namtumbo mkoani Ruvuma, limewakamata viongozi 11 wa chama cha ushirika cha Mjimwema kilichopo katika kijiji cha Likusanguse wilayani humo kwa tuhuma za kuchezea mizani na...
Habari wanajanvi,card yangu ya crdb niliomba iwezeshwe kufanya manunuzi online na baada ya siku moja wakanitumia access code ligo9738, lkn nimefikia hatua hii nimekwama maana wanataka nijaze...
Lepeli Mandero (20) ameuawa kwa kupigwa risasi na mtu anayedaiwa kuwa askari wa Jeshi la Magereza baada ya kuingiza mifugo kwenye shamba la gereza la Mbigiri lililopo wilaya ya Kilosa mkoani...
Morogoro maeneo ya dumila kwa sasa mvua ni kibwa sana tujuzane na maeneo mengine!! Baada ya mashekhe kuomba au walijua inakaribia.... Au ndo nabii hakubalik kwao
Habarini za hapa!!
Nimezunguka maeneo mbalimbali ya nchi yetu,jua ni kali. Jua linawaka la kutosha.
Hali hii ikiendelea hivi,ni wazi kua nchi yetu itakabiliwa na uhaba mkubwa sana wa chakula...
NA ANDREW MHAIKI, SONGEA
WATU wawili mkoani Ruvuma wamefariki dunia baada ya kunywa pombe aina ya gongo ambayo ilikuwa ikihofiwa kuwa na sumu wilayani Tunduru.
Kamanda wa Polisi mkoa wa Ruvuma...
Habari wakuu!
Moja kwa moja kwenye mada.
Moja ya wanawake ambaye taifa la Israel halitakaa limsahau. Mwanamke ambaye Israel ilichezea kichapo kitakatifu na kudhalilika vibaya mno. Mwanamke...
Kama mada inavyojieleza
Naomba kuuliza huu ni utaratibu sahihi kwa chuo hasa hivi vilivyosajiliwa na VETA hasa vile vinavyofundisha masomo ya hotel na utalii kila chuo kinapofungwa mwanachuo...
WIZARA wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki imesema itahakikisha inashirikiana na nchi nyingine ili kumpata Magreth Gonzaga aliyetoroka nchini Tanzania na kutokana na tuhuma...
Wakulima wenye hasira wamemfungia katibu wa Chama cha ushirika cha Msingi
cha Mivanga baada ya kuweka ubaoni orodha ya wakulima ambao wamelipwa
pesa zao za korosho.
Kilichoibua hasira za wakulima...