Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

On JF:

Mi kama mteja kig'ang'anizi wa azam tv decorder naomba azam mrudishe mfumo wa zaman wa ku search channels. Huu mlioweka sio rafiki kabsa. Aliyebun hii kitu alichemka. Unalazimika kujua kabla...
0 Reactions
3 Replies
2K Views
Halmashauri zote nchini zimetakiwa kutokubomoa nyumba za wananchi ambazo zipo kwenye makazi holela,ambayo hayakupimwa na badala yake ziweke utaratibu utakaowezesha kuwapatia hati miliki wa nyumba...
0 Reactions
2 Replies
2K Views
1. Ndege zinanunuliwa hivi na Rais ili Wanafunzi wawe wanazitumia 2. Ndege zinanunuliwa hivi na Rais ili Marubani wajue jinsi ya Kutua Viwanja vibaya kama vya Kigoma 3. Ndege zinanunuliwa hivi na...
6 Reactions
25 Replies
7K Views
KWANZA SIKU INAANZA JIONI .... Ikawa jioni ikawa asubuhi siku moja... Mwanzo 1:5..Ikawa jioni ikawa asubuhi... Mwanzo 1: 8, 13, 19, 23, 31. SIKU YA SABA MUNGU HAKUFANYA KAZI .. Mungu akaibariki...
12 Reactions
336 Replies
46K Views
Na Mwamba wa Kaskazini Natazama mambo nchini kweli mambo ni mengi muda hautoshi ila wanafiki wapo wa kutosha tu. Wapinzani wazee wa matukio wasio na agenda leo wamehama kambi ya kumtetea Peter...
1 Reactions
8 Replies
1K Views
Kwenu, Kuna mambo yanayotokea Tanzania kwa sasa yanayoonesha kuwa wanasiasa wetu wanataka kutwaa utukufu ambao hawaustahili. Mtu anayewapinga anakiona cha mtemakuni. Ndoto zikipita uwezo...
20 Reactions
15 Replies
4K Views
TANESCO manispaa ya songea tunawaombeni mtuletee nguzo za umeme sisi wakazi wa mkuzo-maliasili, mnakosa wateja wengi sana huku wenye uwezo wa kulipia umeme na wenye matumizi makubwa tafadhali...
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Mwaka jana serikali iliifungia dstv kuonyesha vipindi vya tv ambavyo ni FTA (FREE TO AIR)). Kwa lugha nyingine local chanels. Ikabakizwa tbc1 pekee. Baadae tukaambiwa tuliokuwa wateja wa dstv...
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Kwani hao wanyonge ni kina nani kama siyo hawa hawa aina ya akina Pierre wanaotumia kila ubunifu kujikwamua. Ikumbukwe mh Ngeleja tangu amdharirishe na kumfukuzisha kazi yule mlinzi wa ATM...
8 Reactions
36 Replies
6K Views
Habarini waheshimiwa sana wabunge, nimefuatilia kwa ukaribu yaliyokuwa yanaendelea bungeni siku za hivi karibuni sikuelewa nikabaki na mshangao na kujiuliza maswali mengi 1. Hivi hili ni bunge...
0 Reactions
3 Replies
837 Views
Mkuu wa mkoa wa Dar es salaam amekuja na kampeni mpya ya kuwasaidia wanawake wajane itakayofanyika Mlimani City Dar es salaam... Nanukuu kutoka kwenye page yake ya instagram @baba_keagan *IT’S...
4 Reactions
67 Replies
7K Views
Naandika ujumbe huu nikiwa mwenye masikitiko kutokana na uamuzi wa chuo kikuu dodoma kuhitaji kitambulisho cha taifa,leseni ya udereva au kadi ya mpiga kura ili uchukue cheti. Binafsi sina hivyo...
1 Reactions
17 Replies
4K Views
Wakati magaidi waliposhambulia ubalozi wa Marekani nchini, kuna watu walifurahi kwamba angalau Tanzania itapata umaarufu japo kwa tukio baya baada ya vituo karibu vyote vya televisheni duniani...
1 Reactions
0 Replies
896 Views
Wana JF ni wapi na kwa namna gani naweza kupata sanduku la posta? Kwa sababu kili posta ninayoenda naambiwa zimejaa. nisaidieni tafadhali.
0 Reactions
4 Replies
3K Views
Hivi UANDISHI WA HABARI sio taaluma rasmi eeh, maana sijawahi kusikia hata mkutano wa mwaka wa Waandishi wa Habari. Waandishi wa Habari ni kama taaluma ambayo ipo ipo tu, wanasheria wanakutana...
0 Reactions
7 Replies
2K Views
kama kichwa cha habari, naomba mawazo yenu wakuu
0 Reactions
7 Replies
1K Views
Ofisi ya uhamiaji mkoani Njombe imefanikiwa kuwakamata wahamiaji haramu 12 kutoka mataifa mbali mbali ikiwemo Rwanda,Somalia na Burundi wakitokea mkoani Dodoma kuelekea Tunduma mkoani Songwe kwa...
1 Reactions
2 Replies
1K Views
Nimekuwa nikiona kwa miaka kadhaa, Mawingu ya mvua vikianzaga tu, vichaa nao huchomoza wa zamani hawatulii ndani, na wengine wapya hujitokeza wakizurura, bila shaka hukimbia makwao na kwenda...
1 Reactions
3 Replies
1K Views
Kusema ukweli Prof Assad nimekunyanyulia mkono, nilishaanza kupata mashaka na elimu yetu hususan mtu akifikia level ya uprof, kwani walikuwa na wachache wao hawatakiwi kabisa kuwa maprof, mfano...
3 Reactions
27 Replies
5K Views
Hivi karibuni Mkuu wa wilaya Mh. JOKATE MWEGELO amefanikiwa kushawishi wananchi kusaidia wanafunzi wa kike katika wilaya ya kisarawe kwa kuanzisha kampeni ya TOKOMEZA ZERO ambayo amepata michango...
2 Reactions
7 Replies
1K Views
Back
Top Bottom