Namna gani naweza kupata sanduku la posta?

Namna gani naweza kupata sanduku la posta?

uhaale

JF-Expert Member
Joined
Sep 25, 2012
Posts
309
Reaction score
154
Wana JF ni wapi na kwa namna gani naweza kupata sanduku la posta? Kwa sababu kili posta ninayoenda naambiwa zimejaa.

nisaidieni tafadhali.
 
Nenda posta nyingine, hiyo uliyoenda ni kweli pamejaa
 
Wana JF ni wapi na kwa namna gani naweza kupata sanduku la posta? Kwa sababu kili posta ninayoenda naambiwa zimejaa.

nisaidieni tafadhali.

Jengo la posta mpya ghorofa ya kwanza au ya pili chumba namba 7. Muone Akida.
 
Shirika letu la posta limezubaa sana, sanduku la posta ni muhimu sana kwa kila mtu hasa kwa hizi nyakati za online business ....shirika letu bado halijaona potential iliyopo kwwnye hii biashara. By the way mleta mada nakushauri urudi hpo walipokwambiaa kuwa nafasi zimejaa mtafute mfanyakazi mmoja muite chemba halafu umwambie akusaidie kupata sanduku utamchekia chochote a.k.a rushwa bila ivo utazunguka kote na hutopata sanduku

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom