MANILABHONA
JF-Expert Member
- Apr 1, 2015
- 462
- 351
Habarini waheshimiwa sana wabunge, nimefuatilia kwa ukaribu yaliyokuwa yanaendelea bungeni siku za hivi karibuni sikuelewa nikabaki na mshangao na kujiuliza maswali mengi
1. Hivi hili ni bunge letu watanzania- bunge la kutunishiana misuli,
2. Hawa kweli wanatuwakilisha wananchi?
3.Je ni kweli bunge letu ni dhaifu, siamini hivyo, lakini hebu angalia namna walivyoshughulikia suala la CAG kwetu wananchi tunaona wamefanya na kufikia maaamuzi yao kwa mihemko, pengine ilihitajika busara zaidi,
4.Je ni busara kumtaja na kutaja madeni ya mheshimiwa mbunge hadharani?- sidhani kama ni uungwana na utu wala busara, Huu pia sio uongozi.
5. Inawezekana bunge siyo dhaifu lakini je spika wake siyo dhaifu ?. Isije ikawa dhaifu ni spika tuka'generalize' kuwa bunge ni dhaifu.
Siyo vibaya kujitathmini hatujachelewa bado tunapoweza kusahihisha na tufanye hivyo
wasalaam!