Zisikie sababu za Mtangazaji wa Channel Ten Fred Mwanjala juu ya Ununuzi wa Ndege ili ujue kwanini Wanahabari Tanzania wanadharaulika sana

GENTAMYCINE

JF-Expert Member
Jul 13, 2013
56,568
108,911
1. Ndege zinanunuliwa hivi na Rais ili Wanafunzi wawe wanazitumia
2. Ndege zinanunuliwa hivi na Rais ili Marubani wajue jinsi ya Kutua Viwanja vibaya kama vya Kigoma
3. Ndege zinanunuliwa hivi na Rais ili ziwe zinawasafirisha Madaktari kwa haraka kukiwa na shida

Endeleeni ' Kuburudika ' nae Mtangazaji wa Channel Ten Fred Mwanjala akiwa ' mubashara ' eneo la Tukio la Uwanja wa Ndege.

Nawapenda sana Waandishi wa Habari wa Tanzania kwani wengi wao kama huyu Mtangazaji ' mahiri ' wa Channel Ten Fred Mwanjala wanaonyesha kabisa jinsi walivyo ' Weledi ' na ' makini ' kwa Kazi yao lakini pia wanatuonyesha ni jinsi gani walivyo Werevu, Wachambuzi wazuri na Watu ambao wana Ufahamu mkubwa wa mambo mbalimbali kuliko wale Wenzao wa nchi kama za Kenya, Uganda, Marekani, Uingereza, Afrika Kusini, Misri, Algeria na Ufaransa.

This is Tanzania!

Nawasilisha.
 
Kuna Mtu mmoja aliku
Hivi Mwandishi wa habari definition yake ni ipi? Huku mitaani hata nurse attendant ni daktari. Huyu Mwanjala ni form 4 failure, I guess, what do you expect of him!
 
Hasitahili kuitwa mahiri kwa upuuzi huo
 
Nimekusoma GENTAMYCINE
 
Na wale wa "njoo nikuonyesha kumpeleka mpenzio kileleni kutumia vidole" walienda wap!!i Ama walisikia hapa Kenya tunalamba Lolo
 
1. Ndege zinanunuliwa hivi na Rais ili Wanafunzi wawe wanazitumia
2. Ndege zinanunuliwa hivi na Rais ili Marubani wajue jinsi ya Kutua Viwanja vibaya kama vya Kigoma
3. Ndege zinanunuliwa hivi na Rais ili ziwe zinawasafirisha Madaktari kwa haraka kukiwa na shida

Endeleeni ' Kuburudika ' nae Mtangazaji wa Channel Ten Fred Mwanjala akiwa ' mubashara ' eneo la Tukio la Uwanja wa Ndege.

Nawapenda sana Waandishi wa Habari wa Tanzania kwani wengi wao kama huyu Mtangazaji ' mahiri ' wa Channel Ten Fred Mwanjala wanaonyesha kabisa jinsi walivyo ' Weledi ' na ' makini ' kwa Kazi yao lakini pia wanatuonyesha ni jinsi gani walivyo Werevu, Wachambuzi wazuri na Watu ambao wana Ufahamu mkubwa wa mambo mbalimbali kuliko wale Wenzao wa nchi kama za Kenya, Uganda, Marekani, Uingereza, Afrika Kusini, Misri, Algeria na Ufaransa.

This is Tanzania!

Nawasilisha.

Masalia ya Cyprian Musiba, huyo aungane na Juma Kamia
 
Una maoni gani juu ya hizo sababu Kuu / Kubwa Tatu ( 3 ) za Mtangazaji ' mahiri ' wa Channel Ten Fred Mwanjala juu ya Ununuzi wa Ndege hizi za Mheshimiwa Rais?

Huyo atafutwe na kuhojiwa alikuwa na maana gani kulipotosha taifa, amelisha watu sumu, akapimwe urine haraka ikibidi
 
Hivi Mwandishi wa habari definition yake ni ipi? Huku mitaani hata nurse attendant ni daktari. Huyu Mwanjala ni form 4 failure, I guess, what do you expect of him!

Kila aloyeko hospital ni Dr na kila aliyeko shuleni ni Mwl hata kama ni mfagizi
 
Back
Top Bottom