Nchi Kavu
JF-Expert Member
- Sep 11, 2010
- 4,289
- 2,472
Mwaka jana serikali iliifungia dstv kuonyesha vipindi vya tv ambavyo ni FTA (FREE TO AIR)). Kwa lugha nyingine local chanels. Ikabakizwa tbc1 pekee. Baadae tukaambiwa tuliokuwa wateja wa dstv tuorodheshe malipo tuliyofanya na dstv wakati tunanunua vifurushi.
Sasa hadi leo sijasikia mchakato uliendeleaje au ulikwamia wapi. Yani tunahitaji mrejesho. Au wenzangu kuna waliopata mrejesho?
Sent using Jamii Forums mobile app
Sasa hadi leo sijasikia mchakato uliendeleaje au ulikwamia wapi. Yani tunahitaji mrejesho. Au wenzangu kuna waliopata mrejesho?
Sent using Jamii Forums mobile app