Siku ya saba (Sabato) ni Jumamosi

Siku ya saba (Sabato) ni Jumamosi

HDP

Senior Member
Joined
Aug 22, 2015
Posts
164
Reaction score
95
KWANZA SIKU INAANZA JIONI
.... Ikawa jioni ikawa asubuhi siku moja... Mwanzo 1:5..Ikawa jioni ikawa asubuhi... Mwanzo 1: 8, 13, 19, 23, 31.

SIKU YA SABA MUNGU HAKUFANYA KAZI

.. Mungu akaibariki siku ya saba akaitakasa kwa sababu katika siku hiyo Mungu alistarehe, akaacha kufanya kazi yake yote aliyoiumba na kuifanya Mwanzo 2:3

SIKU YA SABA NI LINI?

-Yesu alikufa saa tisa siku ya maandalio ya Sabato.... Marko 15:33 & 42 na alifufuka siku ya KWANZA ya juma baada ya Sabato... Marko 16: 1-6

-Siku ya maandalio ya Sabato ni ijumaa
USHAHIDI: Katoliki na waprotestanti wote wanaadhimisha "IJUMAA KUU" kwa dhana ya kwamba Yesu aliuwawa IJUMAA

-Sabato ni Jumamosi
USHAHIDI: Wayahudi hawajawahi kuacha kutunza Sabato "SIKU YAO YA SABATO NI JUMAMOSI"
 
Kwa hiyo na wewe ni myahudi??
 
Ushahidi butu
 
Kwani kuna mtu kakuzuia kuwa myahudi, usitulazimishe wote tuwe wayahudi. Sabato ni siku ya saba inategemea umemua kuhesabu kuanzia wapi
 
Miafrika akili zetu zilijazwa kamasi sana. Kutwa kucha kubishania mambo ya dini ambazo hata hazina chimbuko la Uafrika. Acheni ujinga na Utumwa wa Kubishania mara Ukristo na Uislamu hizo ni imani tu tuheshimiane bila kukwazana maaana mwishoe huwa tunamwaga damu. Huuu nao nia aina fulani ya Ujinga na Ukichaaa. Marx alisema RELIGION IS THE OPIUM OF THE PEOPLE. Ama kweli....
 
Sawa, ya saba ni jumamosi. Unajua inapofika jioni unaanza kufunga, ktk DUNIA hii hii kuna watu jua linachomoza, ni usiku wa manane wa siku tofauti? Jiongeze.
 
Ni jambo lisilo na shaka kuwa sabato ni siku ya jumamosi ila chenye shaka ktk ulimwengu wa leo wa kiimani ni kwamba waitii amri hii ya Mungu ama wasiitii,,,

Dunia ya leo hamna wa kupinga kuwa sabato ni jumamosi ila watu wanachomiss ni kutambua kuwa sabato ni amri na utaratibu wa Mungu uliowekwa toka bustani eden na baadae kukumbushiwa pale mlimani Sinai kutoka 20:8 na baadae utaratibu huu ukaendelea kudumishwa na Yesu hata na mitume na kanisa la awali baada ya Yesu kupaa pia ni biblia hiyo hiyo inatuarifu kupitia kwa nabii Isaya 66:23 kuwa hadi kule mbinguni ibada itakuwa siku ya sabato

Watu hawafanyi ibada kwa kutii maagizo ya Mungu ila wanatii taratibu za wanadamu ambazo si salama kwao kufanya ibada isiyo na utii maana kabla ya ujio wa Yesu kutakuwa na makundi mawili moja linalofanya kwa utii kwa Mungu na jingine kwa kuongeza uchakachuzi na hapo kutakuwa na kundi lenye chapa ya mnyama yaani lisilo na utii kwa Mungu na jingine lenye muhuri wa Mungu kama tu ilivyokuwa kwa kaini na Abel, wote walitoa sadaka ila utii na unyenyekevu ukaleta tofauti
 
Kwamba utaenda mbinguni kwa kusali jumamosi?
 
Kwani kuna mtu kakuzuia kuwa myahudi, usitulazimishe wote tuwe wayahudi. Sabato ni siku ya saba inategemea umemua kuhesabu kuanzia wapi
Amua basi mwaka uanze December
 
Sawa, ya saba ni jumamosi. Unajua inapofika jioni unaanza kufunga, ktk DUNIA hii hii kuna watu jua linachomoza, ni usiku wa manane wa siku tofauti? Jiongeze.
Kwa hiyo wao hawana "jioni"?
 
KWANZA SIKU INAANZA JIONI
.... Ikawa jioni ikawa asubuhi siku moja... Mwanzo 1:5..Ikawa jioni ikawa asubuhi... Mwanzo 1: 8, 13, 19, 23, 31.

SIKU YA SABA MUNGU HAKUFANYA KAZI

.. Mungu akaibariki siku ya saba akaitakasa kwa sababu katika siku hiyo Mungu alistarehe, akaacha kufanya kazi yake yote aliyoiumba na kuifanya Mwanzo 2:3

SIKU YA SABA NI LINI?

-Yesu alikufa saa tisa siku ya maandalio ya Sabato.... Marko 15:33 & 42 na alifufuka siku ya KWANZA ya juma baada ya Sabato... Marko 16: 1-6

-Siku ya maandalio ya Sabato ni ijumaa
USHAHIDI: Katoliki na waprotestanti wote wanaadhimisha "IJUMAA KUU" kwa dhana ya kwamba Yesu aliuwawa IJUMAA

-Sabato ni Jumamosi
USHAHIDI: Wayahudi hawajawahi kuacha kutunza Sabato "SIKU YAO YA SABATO NI JUMAMOSI"
Hata Kiswahili kinakushinda masikini,unajua neno MOSI lina maana gani? Tafakari kisha chukua hatua mapema maana unaishi kwenye upotofu!!
 
Mkuu hilo ni neno la kiarabu na waarabu walipotosha makusudi ila ukweli ni kwamba jumamosi ndiyo siku ya 7
 
Hata Kiswahili kinakushinda masikini,unajua neno MOSI lina maana gani? Tafakari kisha chukua hatua mapema maana unaishi kwenye upotofu!!
Tofauti na kiswahili nikuhakikishie tu kuwa shule yangu ni kubwa sana.

Hata hivyo rejea kwenye KALENDA angalia siku ya kwanza ni ipi na siku ya saba ni ipi.
 
Miafrika akili zetu zilijazwa kamasi sana. Kutwa kucha kubishania mambo ya dini ambazo hata hazina chimbuko la Uafrika. Acheni ujinga na Utumwa wa Kubishania mara Ukristo na Uislamu hizo ni imani tu tuheshimiane bila kukwazana maaana mwishoe huwa tunamwaga damu. Huuu nao nia aina fulani ya Ujinga na Ukichaaa. Marx alisema RELIGION IS THE OPIUM OF THE PEOPLE. Ama kweli....

Muwe na akili hizi hata mnapoona watu wanabishana kuhusu democrasia/udicteta.

Sisi asili yetu ni machifu na watemi bana.
 
  • Thanks
Reactions: Cyb
Hata Kiswahili kinakushinda masikini,unajua neno MOSI lina maana gani? Tafakari kisha chukua hatua mapema maana unaishi kwenye upotofu!!
Hii ni picha ya KALENDA ya simu. Je ni siku ipi imeanza kwenye orodha? ni jumapili au Jumamosi?
Screenshot_2018-11-09-07-41-53.jpeg
 
Hilo hata wao wanajua ni vile tu wanashupaza shingo maana hata jumapili wanayoabudu wanasema ndiyo siku Yesu aliyofufuka na maandiko yanasema siku aliyofufuka ilikuwa siku ya kwanza sasa ukihesabu toka hiyo jumapili siku ya kwanza jumamosi itakuwa ya saba

Lakini watakataa watasema hiyo ilikuwa ya wayahudi lakini ni uongo maana pale Edeni ilipoanzishwa hapakuwa na wayahudi wowote Lakini kwa maneno ya Yesu mwenyewe anasema

MK. :2:27
Akawaambia, Sabato ilifanyika kwa ajili ya mwanadamu, si mwanadamu kwa ajili ya sabato.

Sabato ni kwa ajili ya mwanadamu na sote tu wanadamu kwa hiyo ni ya kila mmoja mtanzania, mkenya, muarabu, mhindi, na wote duniani hapa na siyo wayahudi pekee

Kwa hiyo ukiikataa uikatae kwa sababu zako binafsi lakini biblia maandiko ya haki yanasema sabato ni kwa ajili ya wanadamu
 
Back
Top Bottom