Namfananisha Pierre Liquid na yule mlinzi aliyedharirishwa na waziri Ngeleja pale kwenye ATM. Mungu alimlipia!

johnthebaptist

JF-Expert Member
May 27, 2014
47,553
2,000
Kwani hao wanyonge ni kina nani kama siyo hawa hawa aina ya akina Pierre wanaotumia kila ubunifu kujikwamua.

Ikumbukwe mh Ngeleja tangu amdharirishe na kumfukuzisha kazi yule mlinzi wa ATM aliyemuomba mh waziri ( Ngeleja) asiongee na simu ndani ya kibanda cha ATM kwa kuwa anasababisha foleni kubwa, Nyota ya Ngeleja kisiasa imezimika na amesahaulika.

Wanasiasa jitahidini kuwa makini na ndimi zenu.

Jumapili ijayo ni SB ya mitende/ matawi
Maendeleo hayana vyama!
 
Pohamba

JF-Expert Member
Jun 2, 2015
24,095
2,000
Ngeleja alijisahau Sana

Mbali ya Sakata la Mlinzi aliemshauri atoke Nje ya Chumba Cha kutolea Fedha ( ATM) kuruhusu wengine kupata huduma wakati anaongea Na Simu akaenda kumfukuzisha Kazi kwa Bosi wake

Kuna Siku aliingia Bank Jijini Mwanza akaenda Moja kwa Moja kwa Teller wakati kuna Foleni Yule Teller akakataa kumhudumia kwa Kuwa hakufuata utaratibu ( Foleni ) akaenda kumchongea kwa Bosi wake

leo Hii yupo Benchi Za nyuma anauliza Maswali ya nyongeza Kama Suleiman Bungara ( Bwege)
 
Emisesayo

Senior Member
Feb 16, 2019
129
250
Makonda ni limbukeni ndio maana anakuwa na mazarau ya kipuuzi alitaka yeye ndie aonekane kafunga magoli ya timu ya taifa ili apewe kiwanja na misifa baada yakuona kakosa kila kitu wivu wa kishamba ukaishia kwa uyo jamaa alivyosifiwa na VIP watu kama bashite wakizeeka lazima wawe warogaji
 
mrangi

JF-Expert Member
Feb 19, 2014
57,606
2,000
Ngeleja alijisahau Sana

Mbali ya Sakata la Mlinzi aliemshauri atoke Nje ya Chumba Cha kutolea Fedha ( ATM) kuruhusu wengine kupata huduma wakati anaongea Na Simu akaenda kumfukuzisha Kazi kwa Bosi wake

Kuna Siku aliingia Bank Jijini Mwanza akaenda Moja kwa Moja kwa Teller wakati kuna Foleni Yule Teller akakataa kumhudumia kwa Kuwa hakufuata utaratibu ( Foleni ) akaenda kumchongea kwa Bosi wake

leo Hii yupo Bungeni anauliza Maswali ya nyongeza Kama Suleiman Bungara ( Bwege)
Huko ni kujiona umungu mtu

Ova

Sent using Jamii Forums mobile app
 
utukufu mwanjisi

JF-Expert Member
Aug 19, 2017
2,573
2,000
Mwenye cheti cha daudi bashite chenye F saba yaani zero ya 35 akiweke hapa kwa ajili ya rejea tafadhali
wabongo ndo mnavotaka
IMG_20190331_124143.jpg

Sent using Jamii Forums mobile app
 
chef detat

JF-Expert Member
Jul 29, 2017
16,074
2,000
Ajue watu hawasahau, siku babaake akiachia ngazi tu wanaye.
NI vigumu kumshughulikia bashite, akitoka magu madarakani atamuacha mtu wake ambaye mtu huyo anachaguliwa pia na bashite,sasa hapo unadhani anawezekana ? bashite kumlipia kisasi itachukua miaka sana,usidhani yeye ni mjinga nae ana rafiki zake, mkuu kuna watu ni un touchable na mmoja wao ni bashite,kuna uzi humu leo imewekwa video yeye mwenyewe anadai kawazidi wakuu wake kikazi mambo mengi sana so hawajamfikia

kwa kumalizia tu nikukumbushe kucheza na bashite ni kucheza na jeska, so kumshughulikia mpaka magu akipangiwa majukumu mengine na mwenyezi mungu ya kuongoza malaika huko fildausi

MAENDELEO HAYANA VYAMA, AIR HOSTAGE FANYENI KAZI ZENU KWA UMAKINI
 
thetallest

JF-Expert Member
Oct 21, 2017
7,285
2,000
Kwani hao wanyonge ni kina nani kama siyo hawa hawa aina ya akina Pierre wanaotumia kila ubunifu kujikwamua.

Ikumbukwe mh Ngeleja tangu amdharirishe na kumfukuzisha kazi yule mlinzi wa ATM aliyemuomba mh waziri ( Ngeleja) asiongee na simu ndani ya kibanda cha ATM kwa kuwa anasababisha foleni kubwa, Nyota ya Ngeleja kisiasa imezimika na amesahaulika.

Wanasiasa jitahidini kuwa makini na ndimi zenu.

Jumapili ijayo ni SB ya mitende/ matawi
Maendeleo hayana vyama!
Havihusiani kabisa,ngeleja alikua wa zama za Jakaya,Jakaya kaondoka nao,na ni makandokando pekee ya Ngeleja ndio yaliofanya Magufuli ampotezee

Sent using Jamii Forums mobile app
 
TIBIM

JF-Expert Member
Dec 1, 2017
8,019
2,000
QUOTE="Pohamba, post: 30942195, member: 293163"]
Ngeleja alijisahau Sana

Mbali ya Sakata la Mlinzi aliemshauri atoke Nje ya Chumba Cha kutolea Fedha ( ATM) kuruhusu wengine kupata huduma wakati anaongea Na Simu akaenda kumfukuzisha Kazi kwa Bosi wake

Kuna Siku aliingia Bank Jijini Mwanza akaenda Moja kwa Moja kwa Teller wakati kuna Foleni Yule Teller akakataa kumhudumia kwa Kuwa hakufuata utaratibu ( Foleni ) akaenda kumchongea kwa Bosi wake

leo Hii yupo Benchi Za nyuma anauliza Maswali ya nyongeza Kama Suleiman Bungara ( Bwege)
[/QUOTE]
Hawa wakolomije huwa wanajisahau sana
Masha anasalimia kila MTU siku hizi,
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom