TANESCO tuleteeni nguzo za umeme sisi wakazi wa mkuzo tunapata tabu sana yani

dumejm

JF-Expert Member
Feb 18, 2016
1,167
2,000
TANESCO manispaa ya songea tunawaombeni mtuletee nguzo za umeme sisi wakazi wa mkuzo-maliasili, mnakosa wateja wengi sana huku wenye uwezo wa kulipia umeme na wenye matumizi makubwa tafadhali tunaomba mlipokee hili tunahitaji sana umeme.. Mwaka wa tatu huu sasa tangu tetesi za kutuletea nguzo zilipoanza lakini mpaka leo tunaona kimya kulikoni... Sisi ni wanachi pia tunahitaji hii huduma muhimu ya umeme.. Tunaumia sana kuona kipande chetu cha 1 sq kinakosa umeme.... Tunapata tabu sana

Sent using Jamii Forums mobile app
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom