Azam na mfumo mpya wa kutafuta channels usio rafik

Rwaz

JF-Expert Member
May 3, 2013
1,958
3,307
Mi kama mteja kig'ang'anizi wa azam tv decorder naomba azam mrudishe mfumo wa zaman wa ku search channels. Huu mlioweka sio rafiki kabsa. Aliyebun hii kitu alichemka. Unalazimika kujua kabla channel unayotaka iko kund gani. Jaman wengine tumeshaamua kuwa na nyinyi kwa shida na raha yan bila local channels, sasa huu mlolongo mmeuweka ili iweje?
 
Mi kama mteja kig'ang'anizi wa azam tv decorder naomba azam mrudishe mfumo wa zaman wa ku search channels. Huu mlioweka sio rafiki kabsa. Aliyebun hii kitu alichemka. Jaman wengine tumeshaamua kuwa na nyinyi kwa shida na raha yan bila local channels, sasa huu mlolongo mmeuweka ili iweje?
njoo DStV ufarahie maisha.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Acha kutuma ving'amuzi vya hovyo hovyo weka dstv nyumbani ufurahie maisha

Life is too short wacha kujibana

God first
 
Back
Top Bottom