Anaitwa Ester, yuko Mikocheni. Anawaaminisha waumini wake kuwa wataponywa kwa sala. matokeo waumini wengi wanaumwa na kufa kwa Imani ya kurubuniwa!
"Mshaurini" aache udanganyifu huo!
MFANYABIASHARA Antony Mandawa (58) amehukumiwa kifungo cha miaka 30 jela na kuchapwa viboko 30 baada ya kukutwa na hatia ya kumbaka mwanafunzi na kumsababishia ujauzito.
Hukumu hiyo ilitolewa na...
Hayo yamesemwa leo hii na Konki liquid katika viwanja vya bunge, Dodoma tulipokuwa tunapiga nae picha. Nilijaribu kumuuliza kwa utani 'na RC je?' Pierre alicheka tu.
Jamaa ni MTU peace Sana...
Kuna tatizo hili ktk Makazi hasa yaliyo sehemu pembezoni mwa Jiji ama maeneo yenye nyumba chache.
Kuna report za watu kuvamiwa usiku na makundi makubwa ya vibaka, wahalifu wakiwa na silaha aina...
.
Mh.Ndugai,pole na majukumu ya kila siku.
Mimi ni miongoni mwa raia wanaotafakari bila kupata majibu juu ya maamuzi ya bunge lako la kutofanya kazi na CAG
Mh.Spika sitaki kusema kati yako wewe...
Vitambulisho mzee vinanakuangusha, watu wako huku wanawabana wauza mkaa, wachoma mahindi, waziba puncher, wachoma chips, wauza karanga.
Habari ipo hivi, juzijuzi mkuu wa wilaya ya Kaliua alikuja...
Kwa sasa wanaokunywa pombe wamebatizwa jina jipya la "Wa ovyo ovyo". Lakini ni ukweli ulio dhahiri kwamba walevi hawakuanza Leo. Hata vitabu vya dini vimewataja hata baadhi ya watu walioheshimika...
Kesho ni tarehe 01/04 siku ya wajinga duniani, nawakumbusha tu maana kuna wadau wana utani unaweza hata ukalia
Ni tukio gani huwezi kulisahau kuhusu hii siku?
Kuna mpuuzi alinialika lwenye...
Natumia simu aina ya tecno W5 inayotumia line mbili ya tigo na halotel sasa toka Jana mchana kuna baadhi ya application zimegoma kufanya kazi mfano whatsaap hakuna msg inayoingia, nikituma SMS...
Ni wazi ukiweka vijana wanaojiamini na wanapambana na vita yoyote iliyo mbele yao na kuhakikisha wanaishinda kivyovyote basi unapaswa kuliweka jina la huyu kijana shupavu.Ingawa hata marekani...
Hello ..habari zenu
Naomba tupeane elimu kidogo ya namna ya kutuma fedha nje ya nchi
Mfano mimi nataka nimtumie fedha kaka yangu aliyeko Nigeria ameenda hivi karibuni kimasomo na ni mara ya...
Naona mmejitahidi kwa ndege za abiria. Ila naona ipo fursa kubwa sana ya mizigo hasa kwenda nchi za arabuni na hata ulaya kwa kuwa tuna mazao mengi ya kilimo na bidhaa zitokanazo na mifugo.
Je...
Bondia Mwakinyo baada ya kumpiga yule mzee wa Kiargenyina na kuitwa Ikulu sasa amekuwa ni mtu wa kuropoka hovyo.
Alichoniacha hoi leo amesema kuwa hampendi Floyd Money eti Money anawahonga marefa...
Uwa jf kuna great thinker wengi sana,pia kuna wadau wengi wanaotoa mada mbalimbali.
Ila km unatembelea IG page ya jf utagundua wana wanapost mawazo ya jf member wanaotoa nyuzi zenye kuitaji...
WAKALA wa Barabara nchini (Tanroads) umesema ujenzi wa barabara za juu katika makutano ya Ubungo (Ubungo Interchange), umefanyika kwa asilimia 25 mpaka sasa na umeanza kudhihirisha ukimalizika...
Awali ya yote naomba nitambue mchango wa Tcra na Jeshi la police kwa mchango wao mkubwa dhidi ya uhalifu kwa Taifa letu.
Rai yangu kwa leo naomba Trca na Jeshi la Police mtusaidie kukomesha hii...
WIZARA ya Ardhi ,Nyumba na Kakazi imezitaka halmashauri zote nchini kutokubomoa nyumba za wananchi ambazo zipo kwenye makazi holela,ambayo hayakupimwa na badala yake ziweke utaratibu utakaowezesha...
Wataalamu wamesema leo kwamba kifo kimoja kati ya vinne kinatokana na mlo usiotimiza viwango vya lishe bora, na kuonya kwamba ulaji wa kupindukia wa sukari, chumvi na nyama unasababisha vifo vya...
Mlianza vizuri sasa munamaliza vibaya!! Niliipenda Halotel kwasababu ya internet yenye nguvu, lakini wiki hii ni ya pili hapa Vwawa, internet ya Halotel haina nguvu kabisa hata kuandika ujumbe huu...
MAOMBI YA KUWA BALOZI WA TANZANIA NCHINI KENYA.
IMEANDIKWA NA; Herbert Faustine
.................................................................................................
Herbert...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.