Mawingu yakianzaga na uwepo wa ongezeko la vichaa mjini hutokeaje?

mbere

JF-Expert Member
Mar 5, 2015
6,969
6,460
Nimekuwa nikiona kwa miaka kadhaa, Mawingu ya mvua vikianzaga tu, vichaa nao huchomoza wa zamani hawatulii ndani, na wengine wapya hujitokeza wakizurura, bila shaka hukimbia makwao na kwenda sehemu kutenda na kusema maneno mbalimbali ya ukichaa wao.

Mahusiano yamekaaje kwa anayejua atujuze
Mahusiano kati ya mawingu na ukichaa kuchachamaa

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ulizia pale magogoni mkuu kuna kiranja wao utapewa sababu

CC Zero IQ
 
Back
Top Bottom