sarcomere1
JF-Expert Member
- Dec 11, 2018
- 330
- 634
Kesho ni tarehe 01/04 siku ya wajinga duniani, nawakumbusha tu maana kuna wadau wana utani unaweza hata ukalia
Ni tukio gani huwezi kulisahau kuhusu hii siku?
Kuna mpuuzi alinialika lwenye sherehe na akanipanga kabisa ukitoka nyumbani waambie wasikuwekee chakula, basi nafika kwao nakuta patupu alafu ananicheka ananiambia ni siku ya wajinga...
Share nasi hapa ww mdau
Sent using My phone