ATCL Lini Mtanunua Ndege ya Mizigo

ATCL Lini Mtanunua Ndege ya Mizigo

bizplan

JF-Expert Member
Joined
Jun 28, 2013
Posts
592
Reaction score
574
Naona mmejitahidi kwa ndege za abiria. Ila naona ipo fursa kubwa sana ya mizigo hasa kwenda nchi za arabuni na hata ulaya kwa kuwa tuna mazao mengi ya kilimo na bidhaa zitokanazo na mifugo.

Je lini mtaleta ndege za mizigo?
 
Na kibali cha kuuza hayo mazao Ulaya nani atakupa?
Ndege iliyobeba mbuzi kwa mbwembwe na matangazo hatujasikia tena
Nchi mpaka mmoja atoe amri na ni mara moja litafanyika basi

Sent from my SM-G570F using Tapatalk
 
Wenzetu Kenya na Uganda wameweza kutumia fursa ya kusafirisha maua, vyakula na malighafi mbali mbali kwa nini sisi tusiweze?
 
Kwani tumeshindwa? Anayetoa maamuzi hajaamua, na hapangiwi. Wengine wote hatujijui wala kujitambua.
Wenzetu Kenya na Uganda wameweza kutumia fursa ya kusafirisha maua, vyakula na malighafi mbali mbali kwa nini sisi tusiweze?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom