Pamoja na vipaji vyetu tusipuuze umuhimu wa shule, leo nimemuona bondia Mwakinyo anaongea hovyo, anamtuhumu Floyd kuwa anahonga marefa

Mukulu wa Bakulu

JF-Expert Member
Aug 12, 2014
4,052
12,904
Bondia Mwakinyo baada ya kumpiga yule mzee wa Kiargenyina na kuitwa Ikulu sasa amekuwa ni mtu wa kuropoka hovyo.

Alichoniacha hoi leo amesema kuwa hampendi Floyd Money eti Money anawahonga marefa halafu anakupiga kibishoo. Kwamba marefa wote wanaochezesha mechi za Money huwa yeye ndie anawapanga na kuwalipa.

Unajiuliza huyu kijana alienda hata shule? Kumpiga yule mzee wa miaka 42 wa Argentina sasa anaona yeye ndie anajua kila kitu na kuropoka uongo mbele ya vyombo vya habari.

Mnaompenda Mwakinyo mtaftieni mapambano ya maana, msimpe mapambano dhaifu alafu mkampa kichwa.
Screenshot_20190327-123711_Instagram.jpg
 
Duh kuna mijitu ina roho mbaya kama gari la kunyonyea mavi,.Go Mwakinyo go
 
Bondia Mwakinyo baada ya kumpiga yule mzee wa Kiargenyina na kuitwa Ikulu sasa amekuwa ni mtu wa kuropoka hovyo.

Alichoniacha hoi leo amesema kuwa hampendi Floyd Money eti Money anawahonga marefa halafu anakupiga kibishoo. Kwamba marefa wote wanaochezesha mechi za Money huwa yeye ndie anawapanga na kuwalipa.

Unajiuliza huyu kijana alienda hata shule? Kumpiga yule mzee wa miaka 42 wa Argentina sasa anaona yeye ndie anajua kila kitu na kuropoka uongo mbele ya vyombo vya habari.

Mnaompenda Mwakinyo mtaftieni mapambano ya maana, msimpe mapambano dhaifu alafu mkampa kichwa.
View attachment 1055182
Miongoni mwa mabondia nisiowapenda duniani, huyu Mwakinyo anaongoza.
 
Bondia Mwakinyo baada ya kumpiga yule mzee wa Kiargenyina na kuitwa Ikulu sasa amekuwa ni mtu wa kuropoka hovyo.

Alichoniacha hoi leo amesema kuwa hampendi Floyd Money eti Money anawahonga marefa halafu anakupiga kibishoo. Kwamba marefa wote wanaochezesha mechi za Money huwa yeye ndie anawapanga na kuwalipa.

Unajiuliza huyu kijana alienda hata shule? Kumpiga yule mzee wa miaka 42 wa Argentina sasa anaona yeye ndie anajua kila kitu na kuropoka uongo mbele ya vyombo vya habari.

Mnaompenda Mwakinyo mtaftieni mapambano ya maana, msimpe mapambano dhaifu alafu mkampa kichwa.
View attachment 1055182
Dogo amelewa sifa
 
Labda hizo audio au video mlizoona,km evidence ni hiyo screenshot tu,mbona hajakosea,kwani alipopigana na man pac au mcC',nqni alilipa marefa?

Sent using Brain
 
Back
Top Bottom