Marco Polo
JF-Expert Member
- Jan 16, 2014
- 13,497
- 21,586
Natumia simu aina ya tecno W5 inayotumia line mbili ya tigo na halotel sasa toka Jana mchana kuna baadhi ya application zimegoma kufanya kazi mfano whatsaap hakuna msg inayoingia, nikituma SMS whatsaap haziend, pia Uc browser, instagram nazo imegoma kufanya kazi lakini application kama jf , YouTube zinapiga kazi vizuri tu.
Tatizo itakuwa nn wakuu? Msaada
Sent using Jamii Forums mobile app
Tatizo itakuwa nn wakuu? Msaada
Sent using Jamii Forums mobile app