Ukihitaji huduma TANESCO, bila rushwa hufanikiwi kwa wakati

IKIRIRI

JF-Expert Member
Jan 14, 2018
2,734
3,017
Hawa jamaa wanaingoza kwa Rushwa imetawala sana,huduma ya kupimiwa,na kuunganishiwa umeme bila rushwa hupati kwa wakati.

Tanesco wao kila siku nguzo zimeisha,cha kushangaza unakuta watu wananunua kwa 100000-150000 pesa inaenda kwa MTU binafsi.

Mbaya zaidi ukienda kushtaki wanakuonyesha njia nenda,kwa RM njia ile pale., hawana uwoga hawa jamaa.

Inawezekana mabosi hawajui ila mafundi mnao waamini wanawachafua sana.

Ikitokea shida ya umeme watu wa emergency hawa ndio hawafai hawaji bila kupewa ahadi ya pesa ukijifanya mchumi watakaa hata siku3 hawajafika.

Km unabisha Fanya mchakato wa kuunganishiwa umeme utawaelewa vizuri,au ingia kwenye line zao utajua hawa jamaa walivyo.

Badilikeni.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Naombeni utaratibu wa kuingiziwa umeme ndani ikiwa ni pamoja na kupata luku, ili nijue namna ya kwenda nao sawa
 
Mkuu vp kile kibanda chetu tayari sasa naona unaweka umeme

Vrou van samaria give me bit of water to drink
 
Hawa jamaa wanaingoza kwa Rushwa imetawala sana,huduma ya kupimiwa,na kuunganishiwa umeme bila rushwa hupati kwa wakati.

Tanesco wao kila siku nguzo zimeisha,cha kushangaza unakuta watu wananunua kwa 100000-150000 pesa inaenda kwa MTU binafsi.

Mbaya zaidi ukienda kushtaki wanakuonyesha njia nenda,kwa RM njia ile pale., hawana uwoga hawa jamaa.

Inawezekana mabosi hawajui ila mafundi mnao waamini wanawachafua sana.

Ikitokea shida ya umeme watu wa emergency hawa ndio hawafai hawaji bila kupewa ahadi ya pesa ukijifanya mchumi watakaa hata siku3 hawajafika.

Km unabisha Fanya mchakato wa kuunganishiwa umeme utawaelewa vizuri,au ingia kwenye line zao utajua hawa jamaa walivyo.

Badilikeni.

Sent using Jamii Forums mobile app
Ndugu mpendwa mteja wetu

Tunaomba utupatie taarifa kamili ya nani ulimpatia Rusha?ushahidi wa hilo na je ulitoa taarifa kwa nani dhidi ya rushwa uliyoomba ili tuifanyie kazi. Unaweza kutupatia taarifa hata inbox.hakikisha unafanya malipo yote ya TANESCO bank na kupata risiti sio kwa mtu binafsi

Hilo liko wazi wanakula na maboss zao. Juzi tulikuwa na kimeo chetu maeneo fulani wakaja kukagua materials,daah hiyo hela waliyoitaka ni balaa,huku wanasema "Si unajua tuko wengi kiongozi,au kama vipi wewe tupe hicho kiasi kidogo ulicho nacho halafu wewe utaenda kumalizana mwenyewe na boss kule"

Nikasema daah .....!
 
Ndugu mpendwa mteja wetu

Tunaomba utupatie taarifa kamili ya nani ulimpatia Rusha?ushahidi wa hilo na je ulitoa taarifa kwa nani dhidi ya rushwa uliyoomba ili tuifanyie kazi. Unaweza kutupatia taarifa hata inbox.hakikisha unafanya malipo yote ya TANESCO bank na kupata risiti sio kwa mtu binafsi

Sent using Jamii Forums mobile app
Haihitaji hata kutaja majina na kutuma details kwenu wafanyakazi wa TANESCO ndiyo maisha yao tutawhistle blow wangapi wakati ukipiga simu unaambiwa andika barua kwa Regional Manager. Ukishaandika utakaa mpaka uchoke ila ukiwapigia mafundi wanakuja haraka na dereva wao ila lazima uwahonge hizo pesa usipotoa hauhudumiwi wasiotoa pesa barua zinajaa tuu ofisini hawahudumiwi wenye kutoa hongo wanatatuliwa matatizo yao haraka.
 
Ndugu mpendwa mteja wetu

Tunaomba utupatie taarifa kamili ya nani ulimpatia Rusha?ushahidi wa hilo na je ulitoa taarifa kwa nani dhidi ya rushwa uliyoomba ili tuifanyie kazi. Unaweza kutupatia taarifa hata inbox.hakikisha unafanya malipo yote ya TANESCO bank na kupata risiti sio kwa mtu binafsi

Sent using Jamii Forums mobile app
Nadhani tatizo sio kulipa Bank ila tatizo umeshalipa kila kitu ile kukumalizia shida yako wale mafundi hawafiki kwa wakati hadi uwaahidi kitu au uwape ndio watashugulikia haraka tofauti na hapo utakuwa umelipa na huduma itachelewa.
 
Tanesco msife Moyo,tunapenda kulalamika saana lakini pale tunapohitajika kutoa ushahidi ili kukomesha tabia hizo kwa baadhi ya watumishi wasio waadilifu sisi wananchi tunakuwa wazito wa kutoa ushirikiano!
Tabia za namna hiyo haziwezi achwa na hao watumishi kwa sie kuendelea kulalamika tu.
Tunaficha maovu sisi wenyewe

Sent using Jamii Forums mobile app
 
mbeya jiji sijawahi kutana na hio kadhia......

hapa kwangu natumia luku hizi mpya, umeme ukileta hitilafu hata kma sa 2 usiku nikipiga simu wale wa emergence utakuta wamekuja!.......

kwa kweli mbeya jiji tanesco wako vizuri sijui huko kwingine

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ndugu mpendwa mteja wetu

Tunaomba utupatie taarifa kamili ya nani ulimpatia Rusha?ushahidi wa hilo na je ulitoa taarifa kwa nani dhidi ya rushwa uliyoomba ili tuifanyie kazi. Unaweza kutupatia taarifa hata inbox.hakikisha unafanya malipo yote ya TANESCO bank na kupata risiti sio kwa mtu binafsi

Sent using Jamii Forums mobile app
Mimi nipo tabata bima nimeshakamilisha taratibu zote ninasubiri mita ya Luku sasa hivi ni zaidi ya mwezi na nusu bado ninaambiwa mita azipo sijui na mm ndio wananitengenezea mazingira ya rushwa

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom