Mwanga Lutila
JF-Expert Member
- Nov 10, 2016
- 4,291
- 14,786
Jana nilikuwa Hospital ya Rufaa ya Iringa nilishuhudia madkatari wakikimbizana Wodi ya watu mahututi "ICU" nikauliza kulikoni Wakasema Wale Mapacha walioungana (Maria na Consolata) hali zao zimebadilika.
Niliwaza mengi sana juu ya huyu Mungu kwanini kawaleta baadhi ya watu waje wateseke?
Niliwaza mengi sana juu ya huyu Mungu kwanini kawaleta baadhi ya watu waje wateseke?