Leo nimegoma kumpisha kwenye siti binti mjamzito

chemri

New Member
Jan 19, 2019
3
150
Ni kabinti kadogo tu lakini ndio kametundikwa mimba

Nikiwa kwenye siti ndani ya daladala, kakaanza kuniangalia kwa huruma Mara kakaropoka, kaka naomba unipishe nikae mimi mjamzito

Nikakaambia mtafute mwanamke mwenzako akupishe, kwani nyinyi wote mnajua kama kuna ugumu wa kusimama. Pindi unapokua mjamzito, mimi sikupishi

Wanawake wote wakajikausha kumpisha mwenzao ndio Safari ikaenda hivyo, alisimama mpaka mwisho wa safari

NB: Wanawake mkishindwa kusaidiana nyinyi kwa nyinyi. Mimi nitaendelea na katabia haka aka
Sent using Jamii Forums mobile app
 

Mtende

JF-Expert Member
Sep 27, 2010
5,665
2,000
Huwa tunawaonea huruma wanawake ktk daladala hasa wakiwa wajawazito,wazee au wagonjwa ila shida huwa inakuja kwao ni wagumu mno,alafu hawapendani

Sent using Jamii Forums mobile app
Ila jamani kama mtu anajijua mjamzito halafu daladala imejaa anapanda ili iweje, avute subira apate daladala yenye aiti maana ukitegemea huruma eti mtu akupishe wakati kila mt5u kachoka kachoka na mihangaiko yakd na analipa nauliSent using Jamii Forums mobile app
 

NTABO wa NTABO

Senior Member
Jun 25, 2017
178
250
dah, how old are you? that is childish mentality, primitive model of thinking, ,tena hata aibu hakuna, sikumupisha,! what if, huyo binti alibakwa ndio akapata hiyo mimba! tenda wema nenda zako , unaangalia et mbona wanawake hawakumupisha, umejifikiria walikuwa na shida gani? Mungu Atusaidie!
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom