Kuweni makini na Dating Sites

KijanaHuru

JF-Expert Member
Jan 7, 2017
1,822
2,290
ANGALIZO KAMA WEWE SIO MTUMIAJI WA DATING SITES NAOMBA UACHANE NA UZI HUU SIO LAZIMA KUCHANGIA KILA UZI

Habari ya mda huu wana Jukwaa
Aisee kama kichwa kilivyo kuna kero moja hasa hawa hawa watz katika dating sites
unakuta mtu kajaza mambo ya ajabu ajabu hata unashangaa huyu ni Mwanaume kweli ama?
Mara mwanaume kajiweka mwanamke na vitu vianvyoendana na hivyo achana na wale waliodhamiria.

Basi tusaidiane kidogo baadhi ya mambo ili tukikutan huko unaweka mambo ya kueleweka sio kuweka mambo ya ajabu ajabu tu

Weka baadhi ya kero nawe ulizoziona kusaidiana na watu hapa

What Is Sexual Orientation?
The term sexual orientation refers to the gender (that is, male or female) to which a person is attracted. There are several types of sexual orientation that are commonly described:
  • Heterosexual (straight). People who are heterosexual are romantically and physically attracted to members of the opposite sex: males are attracted to females, and females are attracted to males. Heterosexuals are often called "straight."
  • Homosexual (gay or lesbian). People who are homosexual are romantically and physically attracted to people of the same sex: females are attracted to other females; males are attracted to other males. Homosexuals (whether male or female) are often called "gay." Gay females are also called lesbian.
  • Bisexual. People who are bisexual are romantically and physically attracted to members of both sexes.
 
https:// t.hrtye.com/q0mzgxx4n4?url_id=0&aff_id=92452&offer_id=3635
 
Back
Top Bottom