BabaMorgan
JF-Expert Member
- Dec 18, 2017
- 5,204
- 14,393
Habari wanaJF.!
Kuna baadhi ya vitu hutokea kwenye maisha yetu ya kila siku na tunavichukulia simple sana ila ni vitu ambavyo vinaweza kuleta pain na kusababisha mhusika kujiona sio kitu. Kulinganisha mafanikio ya mtu mmoja na mwingine ni kitu ambacho kinachukuliwa kawaida sana Ila ukweli kinaumiza sana. Hii kitu imekuwa ikinitokea sana kwenye maisha kulinganishwa na ndugu wengine kwenye ukoo na kila tukilinganishwa mi ndo naonekana kilaza.
Mnaopenda kulinganisha watu mnakuwa hamfanyi fair ukitaka kufanya mlinganisho ni vizuri ukajua vitu ambavyo wote wawili wanapitia kuna watu wanahustle wenyewe toka chini ila kuna baadhi wanapata shavu kutoka kwa watu wao wa karibu. So ukitaka kulinganisha ni vizuri ukaanza kulinganisha hustle zao kwanza.
Jumapili njema.