nzagambadume
JF-Expert Member
- Apr 9, 2018
- 2,430
- 5,787
Ndugu yangu wewe ni mwandishi mkubwa tu na blog yako ina hadi sponsors wa kutosha ila fanya kitu kimoja tafuta laki mbili kahost iwe .com maana naona hata google wameachana na kuishughulikia blogspot ipasavyo kila mara blogs hazipo hewani na wewe sijui huwa unawajibu nini sponsors wako au unawapa matangazo ya bure?
Ni hayo tu.
Ni hayo tu.