Mr. MTUI
JF-Expert Member
- Feb 18, 2013
- 8,129
- 8,378
Atakayeweza kubuni njia ya kuteketeza takataka mbichi za nyumbani kwa urahisi bila kuchafua mazingira.
Azingatie yafuatayo:
1. Iweze kutumia eneo dogo hasa ukizingatia kwamba njia hii itatumiwa na wapangaji wa nyumba ambapo nyumba nyingi hazina nafasi
2. Gharama ya uendeshaji iwe rahisi (affordable) mtu yeyote aweze kutumia
3. Njia hii isisababishe uchafuzi wa mazingira kama moshi na harufu au hata gesi za sumu
4. Njia hii iwe na uwezo wa kutumika hata vijijini.
5. Iweze kutumika hata kwa taka mbichi kama mabaki ya ugali, wali, maganda ya nyanya, matunda n.k.
Nawasilisha