Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

On JF:

Askari Mageraza wa gereza la Msalato A.8070 SSGT Cosmas Ndasi (51) anashikiliwa na jeshi la polisi kwa tuhuma za kukutwa na pembe za ndovu vipande sita vyenye thamani ya sh 103.5 milioni...
0 Reactions
13 Replies
3K Views
Msaada anayefahamu jinsi ya kutoa harufa ya mafuta ya taa kwenye dumu nililonunua kwaajili ya kubebea maji ya matumizi ya geto. Nimeweka sabuni ya unga na mchanga lakini bado harufu ipo tena kali...
0 Reactions
5 Replies
6K Views
Mambo vp wadau, mimi kazi zangu zipo mkoani, ila familia yangu inaishi Dar, wiki iliyopita nimerudi kusalimia familia nimekuta kuna mbuyu umeota pembeni ya Nyumba yangu ambapo kuna kiwanja...
2 Reactions
62 Replies
8K Views
Ulikua unafahamu kwamba kuketi kwa muda mrefu ni hatari kwa afya yako? unaambiwa binadamu wa kawaida kwa sasa anakaa kwa muda wa saa nane mpaka saa tisa kila siku akiwa kazini, kwenye gari au...
1 Reactions
8 Replies
2K Views
Mimi ni mdau na mpenzi sana wa mpira wa miguu, na napenda sana kushangilia timu yangu pale inapokua uwanjani. Kero kubwa kwangu ni utaratibu mbovu uliopo uwanja wa taifa wakati wa kuingia na...
1 Reactions
3 Replies
1K Views
WAKALA wa Ndege za Serikali (TGFA) umesema kuwa fedha zote zilizolipwa kwa ajili ya kuipeleka ndege aina ya Fokker 50 kupakwa rangi nje ya nchi, zimesharejeshwa. Hayo yalibainishwa na Mtendaji...
0 Reactions
5 Replies
2K Views
HABARI WANA-JAMII FORUM; Naomba msaada wa kupata mtaalamu au taasisia ambayo inafundisha, - OFFICE SUIT APPLICATIONS-Full Package- Advanced Excel, Words, Presentation, Publisher etc - Adobe...
0 Reactions
1 Replies
752 Views
Wote tunajadili kuhusu matamshi ya CAG kuhusu "udhaifu wa Bunge." Je, tumeangazia pande za matamshi kuhusu kudhani kurekebishika kwa "udhaifu" huo ndani ya muda mfupi? Mambo gani yatapelekea...
0 Reactions
0 Replies
653 Views
Salam wana jamvi.Je kuna ukweli wowote kwenye swala la vikoba kutoka Reginald Mengi foundation kuhusiana na mikopo wanayotoa? Au ni wahuni wachache wanataka kujivunia fedha za wasio na uelewa?
0 Reactions
1 Replies
695 Views
Kuna series ya kimarekani inaitwa The 100 kama ushawahi kuitazana utakuwa unaweza ukapata tafsiri iliyojitosheleza kuhusiana na neno survival.. Series imeonyesha hustle walizopitia cast ili kuweza...
1 Reactions
10 Replies
966 Views
Kuna siku nilienda bank ya DTB Mkoa fulani hivi kwa ajiri ya kuchukua pesa zilizotumwa kutoka nchi fulani hivi, nikajibiwa kitambulisho cha Taifa hakiwezi tumika kwa sababu hakina sahihi. Kwa hiyo...
2 Reactions
11 Replies
2K Views
Wakuu habari zenu, Natumai mko powa sana na harakati za maisha ya hapa na pale kukimbizana huku na kule pia kinyonge sana na kwa masikitiko tunaendelea kulia juu ya msiba wa kijana mwenzetu. Ok...
1 Reactions
46 Replies
24K Views
Habari za muda huu wakuu, Twende moja kwa moja kwenye mada leo ni mara yangu ya kwanza kutumia huduma ya nbc mobile sasa nilikuwa na shida kidogo ya buku kumi nikapiga hesabu nikope mpawa kweli...
1 Reactions
18 Replies
3K Views
Jana usiku mitaa ya Chamazi Kwa Mkongo ilizizima kwa mirindimo ya risasi baada ya majambazi kuvamia nyumba mbili za raia na kuwakomba kila kitu. Ilikuwa ni kama sinema vile: Majambawazi hao wa...
5 Reactions
62 Replies
9K Views
Mwezi huu tutajisomea kitabu kilichoandikwa na Richard Branson kinachoitwa SREW IT, LETS DO IT, LESSONS IN LIFE. Richard Branson ni bilionea wa kiingereza ambaye utajiri wake unakadiriwa...
0 Reactions
10 Replies
4K Views
Hii imejulikana katika utafiti uliofanywa na Taasisi ya Utafiti wa Wanyamapori(TAWIRI) wa kuchunguza mwenendo wa uzazi na ukuaji wa duma katika Mbuga ya Serengeti nchini Tanzania Utafiti...
1 Reactions
2 Replies
2K Views
Ndugu wana JF, Taasisi hii sasahivi inajitaidi kufanya kazi vizuri kwa kutoa utabiri wa ukweli karibia 90% uwa wa ukweli, ndugu wana JF tujenge mazoea ya kufatilia utabiri wa hali ya hewa...
0 Reactions
9 Replies
2K Views
guest-1793102819
Magari yanayopita njia ya marangu, yani dar express yana usumbufu mkubwa sana yanafaulisha abiria mpaka kero, yani basi la kwanza linasubiri mabas yote stendi ya njia panda zaid ya lisaa...
2 Reactions
7 Replies
2K Views
Kwanza kabisa napenda kupongeza Watu wote ambao wanafanya Taifa ili liwe na Amani, hasa Uongozi thabiti wa Awamu ya tano ikiongozwa na Mh Rais Baba Daktari Mwalimu John Joseph Magufuli...
2 Reactions
30 Replies
2K Views
MENEJA wa Bandari ya Dar es Salaam, Freddy Liundi amesema Mamlaka ya Usimamizi wa Bandari (TPA) ipo mbioni kuanzisha gati maalumu, ambayo itakuwa na uwezo wa kupokea meli za kitalii (cruise...
0 Reactions
1 Replies
2K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…