Kuna watu wajinga sana. Tena wapumbavu.
Huna ulemavu wowote unalalamika huna hela , huna mtaji , huna hela ya kula sijui maisha magumu. Wewe ni mpumbavu na mjinga wa mwisho hapa duniani.
Mungu...
Hiki kipindi napitia maisha magumu sana
Nimefukuzwa kazi
Nadaiwa kodi ya miezi mitatu
A 5000 ya umeme
Sina hela
Ndani nina unga tu mboga na hata mchele sina
Nipo mikoa ya mbali na nyumbani...
Kwanini vijana wengi wa chama dola huwa ni watu waliokimbia shule na wenye ugumu wa maisha tofauti na wale wa upinzani wengi ni wasomi na watafutaji
Vijana wengi wa chamadola wana maisha magumu...
Kuna jumba la ibada huko India lijulikanalo kama Padmanabhaswamy ambalo kuta zake za nje zimetengenezwa kwa dhahabu. Jumba hili liko sehemu ijulikanayo kama Thiruvananthapuram katika Mji wa...
Yap, tuwe wazi tu, rais anajaribu kupambana kivyake! Ana matamko ya hasira na ukali lakini bado watu wanapiga mihela tu!
One man show haitakomboa taifa hili, rais anahitaji timu ya watu wenye...
Nimefanya kautafiti uchwara jijini Dodoma nimeona kuna mahotel makubwa makubwa na bar kubwa ila muda wote hakuna wateja.
Yaani muda wote viti vipo wazi kuanzia asubuhi hadi jioni na ukiangalia...
VOICE OF YOUTH TANZANIA.
Njoo tupande miti pamoja ili kutunza mazingira yetu na ya nchi yetu.
Njoo tuandae mazingira bora kwa ajili ya watoto wetu na kizazi chetu cha baadae.
Njoo tuitengeneze...
Rais Bashir aliingia madarakani mwaka 1989 kupitia mapinduzi ya kijeshi
Utawala wa rais wa Sudan Omar al-Bashir umegubikwa na mapigano.
Aliingia madarakani kupitia mapinduzi ya kijeshi mwaka...
Narudia tena Mimi Kanyela Mumo ( Nimenyea umo umo ) nasema hivi...
Ukiweza kuingia Jamii forum tambua wewe ni Daraja kwa vizazi vijavyo hivyo maendeleo hayana Chama fanya kazi kwa bidii...
Habari wa jf.
Declaration of interest:Mimi sio mwalimu wala mzazi au mlezi bali ni mdau wa elimu yetu.Taifa lolote lile haliwezi kuendelea bila kuwekeza katika elimu,elimu ndio ufunguo wa maisha...
Habari wadau.
Nimeona picha ya walioenda usahili wa nafasi za afya jeshini.. watu ni wengi sana huku nafasi chache
Mwezi uliopita kampuni ya Total tanzania ilitangaza shindano la idea za...
Unajua kuna kasumba ya kipumbavu sana iko miongoni mwa wanajamii wa kitanzania ya kudharau wenyeji wa mahali waliowakuta.
Yaani hawathamini kabisa zile jitihada za wenyeji katika kuimarisha...
Leo jeshi la Sudan limemgeuka Amiri jeshi mkuu wake, nakuchukua Hatamu,Pia jeshi limetangaza hali ya hatari kwa miaka mitatu,na amri ya kutotoka nje kwa mwezi mzima,Tangu maandamano ya Nchi za...
Kumekuwa na mauongo kuhusu kuongeza nguvu za kiume, jamaa yangu kanipa ushuhuda baada ya kutumia mchanganyiko huo kawa balaa.
Kaanga tasi aliyevuliwa kwa mshipi awe fresh asiguse kabisa friji...
Ni hatari sana na utajutia maishani mwako.,pale unapogundua tabia halisi ya mwenzio haiendani na wewe,.
kubali kataa tabia ya nzuri au mbaya utaijua mkiwa ndani,Kwa sababu ndani ya ndoa kuna mengi...
Hebu tujifunze kitu kwenye hizi video mbili, ni jinsi gani ambavyo maamuzi yetu ya pupa ni hatari kwa hitma zetu. Maamuzi ya pupa yanatokana na kutumia hisia kufanya maamuzi
Imekua kawaida sasa kwa wataalamu wa afya ( doctors) na wale wa dawa za asili ( herbalists) kupambana katika kutatua matatizo ya magonjwa kama kisukari,upungufu wa nguvu za kiume , matatizo ya...
Ukipata tatizo la dharula na gari yako chuo kikuu cha Dar es Salaam, unakamatwa na kulipishwa fine. Leo yamenikuta pale UDBS ,gari ilinizimikia sasa wakati natafuta tatizo mambo yakabadilika. Kuna...
Habari wanabodi wote humu ndani.
Nikiri kwenye maisha nilishawapoteza watu muhimu sana miaka hiyo bila kuwapata mpaka hivi leo.
Tulipotezana na rafiki yangu mmoja, tulikuwa na interest sawia...