Mkwawe
JF-Expert Member
- Jun 10, 2016
- 2,344
- 4,167
Unajua kuna kasumba ya kipumbavu sana iko miongoni mwa wanajamii wa kitanzania ya kudharau wenyeji wa mahali waliowakuta.
Yaani hawathamini kabisa zile jitihada za wenyeji katika kuimarisha uchumi na maendeleo ya eneo husika na kuona watu wengine kutoka mahali pengine ndio waliofanikisha hadi sehemu fulani kuwa na maendelo ya kijamii
Utakuta mijitu inasema "aaah hawa kabila hili hamna kitu kabisa watu kutoka eneo fulani ndio wameleta maendeleo humu mjini mwao"
Au utakuta wengine wanasema "bila sisi huu mji usingeendelea sisi ndo tumeubdlisha, wenyeji wao kazi yao ni kukaa vibarazani tu" au "wenyeji kazi yao ni kuomba omba tu" au utasikia pia "hawa wenyeji kazi yao ni kulima nyanya tu hawana uwezo wa kuendeleza mji bila sisi tuliokuja kutafuta maisha huku"
Sasa mimi huwa najiuliza kiliwashinda nini wao kubaki kwao na kuiendeleza miji yao na kuenda kwenye miji ya watu? hiko si kiherehere!
Kama nyie ni mabingwa wa kuleta mageuzi ya kimaendeleo bakini kwenu ili miji yenu pia iendelee na muache kuhamahama hovyo, kitendo cha wimbi kubwa la jamii fulani kuhamia sehemu fulani ni kwamba kuna fursa wameiona sehemu fulani ambayo wenyeji husika wameitumia na wao wakavutiwa nayo au tafsiri nyingine ni kwamba kwenu ni KUBAYA na HAKUNA MVUTO
Mkome kukandia jamii za watu wakiowakaribisha hiyo sehemu na mkaneemeka na kuwaona ni wapumbavu na malofa
Shenzi