milionea wa kesho
JF-Expert Member
- Dec 28, 2015
- 328
- 633
Nimefanya kautafiti uchwara jijini Dodoma nimeona kuna mahotel makubwa makubwa na bar kubwa ila muda wote hakuna wateja.
Yaani muda wote viti vipo wazi kuanzia asubuhi hadi jioni na ukiangalia gharama za uwekezaji inaonekana ni kubwa sana.
Unakuta hotel au bar ya kisasa ina miundombinu ya maana ila hamnaga wateja. mara nyingi hasa jioni ndo nakuta wateja hawazidi hata kumi.
Ni kwamba vyuma vimekaza au nini? na hao wamiliki waliowekeza mamilioni ya hela wanapataje faida?
Sent using Jamii Forums mobile app