Wafanyakazi wa UDSM wanawalipisha faini wanaoharibikiwa magari ndani ya chuo

balibabambonahi

JF-Expert Member
Apr 5, 2015
15,370
13,767
Ukipata tatizo la dharula na gari yako chuo kikuu cha Dar es Salaam, unakamatwa na kulipishwa fine. Leo yamenikuta pale UDBS ,gari ilinizimikia sasa wakati natafuta tatizo mambo yakabadilika. Kuna mtu mmoja cheupe hivi ana makovu usoni,akazinguana na mke wangu kisa eti kamjibu vibaya.

Nikaingilia kitaarabu nikaongea na huyo mtu sijui dokta au profesa,nikajua amenielewa kama mwanamme mwenzie dah,kumbe nilikosea.Ile nmemfuata fundi Ubungo nilikuta gari imepigwa mnyororo. Kuulizia wale askari wa auxiliary wananambia eti mke wangu kawatukana UDBS na ili kutoa gari inabidi nilipe fine elfu ishirini na tano.

Nikauliza, nalipa kwa sababu nimepata emergence? Wanasema eti kwa sababu mke wangu kamjibu huyo cheupe vibaya. Wewe sijui profesa, sijui dokta, cheupe hivi wa UDBS Mungu anakuona. Dume zima unashindana na mwanamke tena aweza kuwa binti yako..
 
Ukipata tatizo la dharula na gari yako chuo kikuu cha Dar Es Salaam,unakamatwa na kulipishwa fine.Leo yamenikuta pale udbs ,gari ilinizimikia sasa wakati natafuta tatizo mambo yakabadilika.Kuna mtu mmoja cheupe hivi ana makovu usoni,akazinguana na mke wangu kisa eti kamjibu vibaya.Nikaingilia kitaarabu nikaongea na huyo mtu sijui dokta au profesa,nikajua amenielewa kama mwanamme mwenzie dah,kumbe nilikosea.Ile nmemfuata fundi Ubungo nilikuta gari imepigwa mnyororo.Kuulizia wale askari wa auxiliary wananambia eti mke wangu kawatukana udbs na ili kutoa gari inabidi nilipe fine elfu ishirini na tano.Nikauliza,nalipa kwasababu nimepata emergence? Wanasema eti kwa sababu mke wangu kamjibu huyo cheupe vibaya.Wewe sijui profesa,sijui dokta,cheupe hivi wa udbs Mungu anakuona.Dume zima unashindana na mwanamke tena aweza kuwa binti yako.shwineeee.

= dharura
= emergency

Kwa mwandiko wako huo kupigwa fine chuo kikuu ni haki yako, nnahisi hata kujielezea ulishindwa.
 
Kwanza ongea na mkeo juu ya kuwa na hekima za kuongea na watu vizuri.

Pili hiyo faini uliyopewa ulipatiwa risiti? Na iliandikwa kosa gani?
 
Ukipata tatizo la dharula na gari yako chuo kikuu cha Dar es Salaam, unakamatwa na kulipishwa fine. Leo yamenikuta pale UDBS ,gari ilinizimikia sasa wakati natafuta tatizo mambo yakabadilika. Kuna mtu mmoja cheupe hivi ana makovu usoni,akazinguana na mke wangu kisa eti kamjibu vibaya.

Nikaingilia kitaarabu nikaongea na huyo mtu sijui dokta au profesa,nikajua amenielewa kama mwanamme mwenzie dah,kumbe nilikosea.Ile nmemfuata fundi Ubungo nilikuta gari imepigwa mnyororo. Kuulizia wale askari wa auxiliary wananambia eti mke wangu kawatukana UDBS na ili kutoa gari inabidi nilipe fine elfu ishirini na tano.

Nikauliza, nalipa kwa sababu nimepata emergence? Wanasema eti kwa sababu mke wangu kamjibu huyo cheupe vibaya. Wewe sijui profesa, sijui dokta, cheupe hivi wa UDBS Mungu anakuona. Dume zima unashindana na mwanamke tena aweza kuwa binti yako..
haha naona uneamua kumsuta juzi kuna jamaa kaiga swaga za mange akaandika kwenye group la wasap "nazaaa"" watoto wa kibashite mazafanta wana swaga kama za dada zao...anyway shit
 
Back
Top Bottom