Kuoa/kuolewa ni bahati nasibu...jiepushe na ndoa ambayo haina talaka.

IKIRIRI

JF-Expert Member
Jan 14, 2018
2,734
3,017
Ni hatari sana na utajutia maishani mwako.,pale unapogundua tabia halisi ya mwenzio haiendani na wewe,.
kubali kataa tabia ya nzuri au mbaya utaijua mkiwa ndani,Kwa sababu ndani ya ndoa kuna mengi sana...
Sasa km uko na ndoa ambayo haina talaka ni hatari sana..
Unaweza kuoa au kuolewa na jitu Levi,limalaya...hapendi ndugu zako..lichoyo,mkorofi.,mpiga ramli
Unadhani km hakuna talaka mtaishi VP?
Tafakari chukua hatua.....hasa wamama ni waathirika wakuu wa ndoa...

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Tafakari chukua hatua.....

Sent using Jamii Forums mobile app
Safi imetulia ila kidole na jicho tafadhali
 
Hakuna talaka vipi sasa??????vurugu kama hizo hata kama ningekuwa mkristo ningepiga chini mara moja.
 
Ni hatari sana na utajutia maishani mwako.,pale unapogundua tabia halisi ya mwenzio haiendani na wewe,.
kubali kataa tabia ya nzuri au mbaya utaijua mkiwa ndani,Kwa sababu ndani ya ndoa kuna mengi sana...
Sasa km uko na ndoa ambayo haina talaka ni hatari sana..
Unaweza kuoa au kuolewa na jitu Levi,limalaya...hapendi ndugu zako..lichoyo,mkorofi.,mpiga ramli
Unadhani km hakuna talaka mtaishi VP?
Tafakari chukua hatua.....hasa wamama ni waathirika wakuu wa ndoa...

Sent using Jamii Forums mobile app
Kaka yako mliozaliwa tumbo moja hamfanani tabia ndo iwe kwa mtu mwingine, ndoa siyo kufanana tabia

Sent using Jamii Forums mobile app
 
oa mkuu usiogope,au na wewe ni mtoto wa 'mama mdogo'
..........Wa mama mdogo huyo asikupe tabu,ogopa sana watu wanakaa wakiwaza mambo ya kuachana achana,hamtokaa mpate maendeleo.wala hawafikirii baada ya brake up ninini kitatokea kwa watoto yani hi ni jamii yenye akili finyu sana.

Sent from my Redmi Note 5 using Tapatalk
 
Km mshenzi nikuvumilie tu kisa watoto?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom