kikokotoo kipya
JF-Expert Member
- Dec 18, 2018
- 441
- 490
Leo jeshi la Sudan limemgeuka Amiri jeshi mkuu wake, nakuchukua Hatamu,Pia jeshi limetangaza hali ya hatari kwa miaka mitatu,na amri ya kutotoka nje kwa mwezi mzima,Tangu maandamano ya Nchi za Kiarabu yalipoanza miaka kadhaa huko TUNISIA, nimekuwa nikijiuliza ni wapi waandamani hupata mahitaji yao kama chakula na peasa za kulipa bilil mbalimbali kama maji na umeme,kwani wengine hukesha kwenye square katikati ya miji mikubwa wakishinikiza Utawala uliopo madarakani kung'oka..
Wengi wao huamkia kwenye maandamano kila siku bila kufanya kazi yoyote kujiingizia kipato,na wengine hukesha kabisa kwenye hizo wanazoiita squares zao.Kwa mfano Maandamano ya Sudan yameanza mwezi wa kumi na mbili na kuna maelfu ya watu wameshiriki kila siku familia zao hula nini,na wanapokuwa kwenye hizo square za mapinduzi wao wenyewe hula nini?