Hossam
JF-Expert Member
- Feb 10, 2011
- 3,547
- 2,181
Kumekuwa na mauongo kuhusu kuongeza nguvu za kiume, jamaa yangu kanipa ushuhuda baada ya kutumia mchanganyiko huo kawa balaa.
Kaanga tasi aliyevuliwa kwa mshipi awe fresh asiguse kabisa friji. Kaanga kwa mafuta ya mahindi tu. Bamia chukua tano katakata hoho moja jike (lenye nundu nne nyuma, chemsha kwa dakika tano visipoteze rangi .
Kula vikiwa moto, usibakize.
Fanya hivyo kwa wiki kila siku mchana, kisha njoo nipe majibu.
Pangu Pakavu
Sent using Jamii Forums mobile app