Usiwe na pupa, subira yavuta heri

Usiwe na pupa, subira yavuta heri

Bujibuji Simba Nyamaume

Platinum Member
Joined
Feb 4, 2009
Posts
79,058
Reaction score
168,718
Hebu tujifunze kitu kwenye hizi video mbili, ni jinsi gani ambavyo maamuzi yetu ya pupa ni hatari kwa hitma zetu. Maamuzi ya pupa yanatokana na kutumia hisia kufanya maamuzi
 

Attachments

  • VID-20190409-WA0007.mp4
    5.3 MB
  • VID-20190411-WA0000.mp4
    10.3 MB
Ooh,.nimezidi kujifunza jambo muhimu...zaidi sana kufikiri kabla ya kutenda/kusema na kuwa na "subra",japo ni ngumu lakini ina malipo😊
 
Back
Top Bottom