Idd Ninga
JF-Expert Member
- Nov 18, 2012
- 5,539
- 4,856
VOICE OF YOUTH TANZANIA.
Njoo tupande miti pamoja ili kutunza mazingira yetu na ya nchi yetu.
Njoo tuandae mazingira bora kwa ajili ya watoto wetu na kizazi chetu cha baadae.
Njoo tuitengeneze hali ya hewa yenye kuvutia.
Karibu tutoe damu zetu kwa ajili ya wagonjwa mahospitalini.
kARIBU TUIJENGE JAMII BORA.