Hakuna dawa ya kuongeza urefu?

Hakuna dawa ya kuongeza urefu?

proton pump

JF-Expert Member
Joined
Apr 30, 2017
Posts
7,618
Reaction score
11,856
Imekua kawaida sasa kwa wataalamu wa afya ( doctors) na wale wa dawa za asili ( herbalists) kupambana katika kutatua matatizo ya magonjwa kama kisukari,upungufu wa nguvu za kiume , matatizo ya uzazi na mengineyo mengi.

Swala linakuja, hawa watu wanatafuta hela ni vyema ila kuna tatizo lingine sugu limeibuka La watu kupenda,kama kwamba hata wanawake wafupi na warefu hawapendi kuolewa na wanaume wafupi.Wanataka kuolewa na wanaume warefu kwa kua sifa yao wana nguvu na kujiamini ukilinganisha na wale wafupi japokua nao wapo wanaojiamini kupita hata wale warefu.

Ombi langu kwa hawa wataalamu wabuni dawa za kuongeza urefu(kimo) kama walivyobuni dawa za kurefusha penis japokuwa kwan hawa wenzetu wa Magharib wa uwezo kwa kiasi fulan kama kuwapa watoto lishe bora na vidonge vya urefu au kufanya upasuaji kwa kuongeza mifupa jambo ambalo ni hatari kwa afya zetu.

Hili tatizo ni sugu kwani idadi ya watu wafungi wanaongezeka badala ya kupungua wakati kipindi cha nyuma kidogo tallest walikua wengi ukilinganisha na sasa.

Wataalamu kaeni chini fanyeni ubunifu hapa na penyewe ni sehemu ya kupata hela kutokana na huu ugonjwa sugu.Asanteni

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ukiipata ni PM na me naitaka
 
Nilipokua nakua nilikua narefuka kwa Kasi na haraka xanaaaa kuzidi wenzangu, Nilipokua nikitembea nao nilikua napinda mgongo ili nilingane nao tuu [emoji23][emoji23][emoji23]

My mom alikua nurse, ikabidi ni muulize hiv mom hakuna dawa ya kupunguza urefu? Aliishia kucheka tuu [emoji23][emoji23]

Bt today natamani niendelee kurefuka tuu, ndo haiwezekani tena mifupa isha komaa [emoji17][emoji17]

Ila nikizidi hapa ntakua ngongoti [emoji23][emoji23]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Acha kula .........
Utakonda sana na utakua mrefu kama usain bolt
 
Nilipokua nakua nilikua narefuka kwa Kasi na haraka xanaaaa kuzidi wenzangu, Nilipokua nikitembea nao nilikua napinda mgongo ili nilingane nao tuu [emoji23][emoji23][emoji23]

My mom alikua nurse, ikabidi ni muulize hiv mom hakuna dawa ya kupunguza urefu? Aliishia kucheka tuu [emoji23][emoji23]

Bt today natamani niendelee kurefuka tuu, ndo haiwezekani tena mifupa isha komaa [emoji17][emoji17]

Ila nikizidi hapa ntakua ngongoti [emoji23][emoji23]

Sent using Jamii Forums mobile app
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Imekua kawaida sasa kwa wataalamu wa afya ( doctors) na wale wa dawa za asili ( herbalists) kupambana katika kutatua matatizo ya magonjwa kama kisukari,upungufu wa nguvu za kiume , matatizo ya uzazi na mengineyo mengi.

Swala linakuja, hawa watu wanatafuta hela ni vyema ila kuna tatizo lingine sugu limeibuka La watu kupenda,kama kwamba hata wanawake wafupi na warefu hawapendi kuolewa na wanaume wafupi.Wanataka kuolewa na wanaume warefu kwa kua sifa yao wana nguvu na kujiamini ukilinganisha na wale wafupi japokua nao wapo wanaojiamini kupita hata wale warefu.

Ombi langu kwa hawa wataalamu wabuni dawa za kuongeza urefu(kimo) kama walivyobuni dawa za kurefusha penis japokuwa kwan hawa wenzetu wa Magharib wa uwezo kwa kiasi fulan kama kuwapa watoto lishe bora na vidonge vya urefu au kufanya upasuaji kwa kuongeza mifupa jambo ambalo ni hatari kwa afya zetu.

Hili tatizo ni sugu kwani idadi ya watu wafungi wanaongezeka badala ya kupungua wakati kipindi cha nyuma kidogo tallest walikua wengi ukilinganisha na sasa.

Wataalamu kaeni chini fanyeni ubunifu hapa na penyewe ni sehemu ya kupata hela kutokana na huu ugonjwa sugu.Asanteni

Sent using Jamii Forums mobile app

Ukitaka kunifikia mm vaa viatu ya sole ya inchi 4 kama machalii ya Chuga.. Haaa..

Jamani kuleni nyama na maziwa kwa sana mpate more calcium muwe warefu
 
We unaakili calcium ni nzuri kwenye mifupa

seven eagles
 
Back
Top Bottom