DLRider
Senior Member
- Mar 5, 2019
- 134
- 143
Tanzania Post Office Parcel (Package) Theft
Nimetuma parcel ndogo tokea nje ya Tanzania. Ikafikia dar airport, kisha sijui ikapelekwa wapi kabla ya kuanza safari yake ya mwisho kwenda Arusha. Mzigo umefika arusha, umefunguliwa na kuna vitu wameiba. KAMA MNAIBA HATA VITU VIDOGO KWENYE PARCELS NDOGO, NI KWA NINI WATU WAAMINI NA HELA ZAO TANZANIA POSTAL BANK? Ni shirika hilo hilo na boss wake ni huyo huyo at the top I believe. Na ni kwa nini parcel ilifunguliwa dar? Ni nani aliyeifungua? Mna rekodi za watu wanaofungua parcel? Hizi tabia inatakiwa zikome. Mna maudhi ninyi. Thank God sikutuma smartphones sababu ilikuwa nitume ila nikahofia uhuni kama huu. Mlivyoiba, havitawasaidia, na mimi nitavireplace tu in no time.